Rayvanny-Wasiwasi acoustic

preview_player
Показать описание
Follow Rayvanny On:

For Bookings:
Call: +255677011134
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama bado una enjoy wasiwasi in 2024 gonga likes tujuane.

gsodfqq
Автор

Kama bado huko hapa 2024.. 🔥🔥🔥🔥 fire vanny in love 💕

celestinenjimia
Автор

Leaving my comment here so whenever you like it i will come back and enjoy the music again much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

venvillabalesa
Автор

Nyimbo za ray ni nice one nipee like kaa tuko pamoja 2024

kigomiss
Автор

Woow, , wimbo huu sijui ulinipita vipi nmeuskia leo kwa mara ya kwanza thanks to "Shazam", , nmeupenda wallah❤
Uko na golden voice Vanny Boy

misswamboh
Автор

"taswira yangu, picha yako moyo wangu, ww chaguo langu"
touch down kama iko kipande kimekugus!

castormpunga
Автор

Wimbo nzuri sana, , , if wapenda Rayvanny nipe like twende pamoja kwa hii 2020👌👌

erastuschirchir
Автор

Nimepata wimbo wa kucheza kwa harusi yangu, sina wasi wasi tena. Thanks Rayvanny Daddy jay!!!

nyangitina
Автор

Am in love with the song...wapi likes from kenya

joymghoi
Автор

Humm ni sauti gani, ni wimbo mtamu namna gani, Rayvanny wewe ni bora, wimbo huu unafanaya moyo wangu utetemeke, lakini ni nani anayemsikiliza Rayvanny mnamo 2023

mmakamoindze
Автор

Usiwe na wasiwasi 🥰🥰🥰2020🇨🇩like kama weye shabiki wa Rayvan

nellyradjabu
Автор

2020 who's watching with cha mapenzi huu wimbo naupenda tu

princejohnpaul
Автор

Lyrics:

Upepo mwanana
Nawe upo kifuani mwangu
Jua likizama
Mikono salama
Karibu kwenye moyo wangu
Mi Baba uwe mama

Zima taa washa mishumaa
Nilishe kama na njaaaa

Kila dakika kila masaa
Palilia penzi litasinya
ahhhh

Sura yako macho yako upole wa mama yako we chaguo langu mamaaa aaah
Taswira yangu picha yako
Moyo wangu Mali yako we chaguo langu
mamaaa aaah

Wasiwasi
Mwenzako sina maana niko na wewe
Wasiwasi
Tunza heshima niwe na ww milele
Wasiwasi
Uko na mm usiwe na
Wasiwasi
Uniaminiii
Usiwe na Wasiwasi

Ntakuganda ruba
Pua na leso tufatane
Mahabuba
Tuwe mapacha tufanane
Wenye husuda wakiroga tutengane
Ongeza rutuba
Nije na Pete tuoaneee

Supu chukuchuku miguu ya vikukuu
Ayy
Utaua ehh
Utaua ehh
Na haya manusunusu
Ukinibusubusu
Ayy
Maua ehh
Maua ehh

Sura yako macho yako upole wa mama yako we chaguo langu mamaaa aaah
Taswira yangu picha yako
Moyo wangu Mali yako we chaguo langu
mamaaa aaah

Wasiwasi
Mwenzako sina maana niko na wewe
Wasiwasi
Tunza heshima niwe na ww milele
Wasiwasi
Ehhhh
Uko na mm usiwe na
Wasiwasi
Uniaminiii
Usiwe na Wasiwasi

Bilal-mhgc
Автор

Wow, What a talent!! Can't get enough of this song...2023 and still going strong💪💪🇰🇪🇰🇪

suswapius
Автор

Tuned in from 254... Napenda when rayvanny does this kind of music... Sio zingine ambazo ameingizwa na diamond

twainantony
Автор

sijui pia mimi niombe likes Huku🤣🤣
Vanny boy 🔥

silawsang
Автор

This song makes me remember the love of my life- it was her favorite- so sad we are no longer together, we no longer talk. but wherever you are mummy I know you are happy. Your superman (as you used to call me) wants you to be safe and successful. Usiwe na wasiwasi love.

ndondiafrika
Автор

me namkubali WCB....ukubwa hadi dogo...na kama we pia, gonna like hapa

dayzeofficial
Автор

First time I heard this song I was stuck in early Nairobi traffic and Maina Kageni just had to pull up like twice. I shed a tear or two coz of how sweet it is.. Getting to the office I searched for it and was on constant replay. I love it ❤

wanjirunjunge
Автор

Walioludia kuiangalia nyimbo hii zaidi mara mbili tufamiane

frankopiyo