Bruce africa -You (Official instrumental)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Always tapn to this beat.. mad vibes 🔥🔥

humphreygathii
Автор

Ile umeificha mazee na vile hio ndio ilifanya nikapenda hii beat

the_Caly
Автор

Intro]
Yeah
Bruce Africa pon this again
Baby, yeah

[Verse 1]
Imenifika kwa koo
Inanibidi niseme, ndipo nipone, yeah
Pale ulipo baby, nipe location nisogee
Nije nikuone
Ikishindikana basi, nitumie video zako za Snapchat
You know I like that
Nimekumissi sana macho yakutaka
Video calls hata, mda ukipata
Nitafurahi nikikuona mwana-dada


LeoStayTrill 'Pink Lemonade (Str8 Reload)' Official Lyrics & Meaning | Genius Verified
[Chorus]
You're my angel, my queen
Unachotaka mi' sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi' sikinai
Ooh, angel, my queen
Unachotaka mi sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi' sikinai
I miss you, ayy-ayy
Nakumissi vibaya damn, yeah
I miss you, baby, yeah
Nakumissi vibaya damn
Oh yeah

[Instrumental Break]

[Verse 2]
Utani utani wako na michezo hunikosha
Fanya urudi upweke, unanitesa baby
Uwepo wako kwangu unanitosha
Baby, do you miss me?
Ah-ooh mimi, baby, hukumiss daily, yeah, daily
I'm so crazy yeah
For your love, I'm crazy
Baby, nakumissi daily, yeah, daily, daily
[Chorus]
You're my angel, my queen
Unachotaka mi' sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi' sikinai
Ooh, angel, my queen
Unachotaka mi sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi' sikinai
I miss you, ayy-ayy
Nakumissi vibaya damn, yeah
I miss you, baby, yeah
Nakumissi vibaya damn, oh yeah

[Outro]
Your my angel, my queen
Unachotaka mi' sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi' sikinai

MalaikahMari
Автор

Bro naomba ufanye pia Jojina_Bruce Pls

Pachaz_Ent