Bruce Africa - My Love [Official Music Video]

preview_player
Показать описание
The official music video for Bruce Africa "MyLove"

FOLLOW BRUCE AFRICA ON:

STREAM BRUCE AFRICA’s MUSIC:

MyLove - Lyrics

Safari yetu ya mapenzi
Oh my babe
Sio siri tutaona Mengi
Kuwa ready ,
We tukaze roho, kuachana no
I will be your comando.

Nishafanyiwa ushenzi
oh my babe
Kwako nimepata ukombozi
Yes i’m ready,
Kukupa yangu roho, na vyangu vyote girl
Bila wewe sitoboi.
SITOBOI

Hook

Natangaza nakupenda sio mbaya,
Sio dhambi , hakunaga ubaya,
Kuzama penzini nawe,
Ongeza tena nipagawe,
Your my melody and i sing alone,
Badman i sing alone,
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni.

Siri tuzitunze ,nje sio sawa
Tukipishana ndani ya kaya
Tuyamalize mimi nawe,
Upendo kati yetu utawale,
Your my melody and i sing alone,
Badman i sing alone,
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni

Chorus

Ooh my love
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh
Umenikamata
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh
Mganga gani huyo
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh
Now i sing alone
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh

Verse

Iwe mchana usiku
Tukikosa mkate wa siku
Tuwe na imani tu mwayaa yaa
Anayetoa ni maulana
Ooh my love
Wabaya wapo usiwasikilize
Maneno yao tuyapuuzie yeh yeh
Ndio tuyapuuzie

Mwenzako kwako kolo kolo (kolo)
Uendapo nitafollow
Sitarudia viporo
Kwako napata vinono noh
Yaani fainale
Nipo nyang’anyang’a sina hale
Nikiugua daktari yeh yeh (daktari)

Hook

Natangaza nakupenda sio mbaya,
Sio dhambi , hakunaga ubaya,
Kuzama penzini nawe,
Ongeza tena nipagawe,
Your my melody and i sing alone,
Badman i sing alone,
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni.

Siri tuzitunze ,nje sio sawa
Tukipishana ndani ya kaya
Tuyamalize mimi nawe,
Upendo kati yetu utawale,
Your my melody and i sing alone,
Badman i sing alone,
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni

Chorus

Ooh my love
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh
Umenikamata
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh
Mganga gani huyo
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh
Now i sing alone
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh

Ooh my love
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh
Umenikamata
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh
Mganga gani huyo
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh
Now i sing alone
Uuuh uuuh uuh,Uuuh uuh uuh
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

This guy is talented people should see this.. weka like hapa if u agree with me❤❤❤😊

remmykubanda
Автор

This guys talent is on another...km unamkubali Bruce gonga like

lanking
Автор

Comment ya tano toka kenya..wapi likes za bruce afrika❤❤

bombateakay
Автор

From the day nilikuona Bongo stars search nilijua uko na talent....sauti unayo kaka tuzidi

DeejayClef
Автор

Baba mwenye nyumba nilivyo cheza hii ngoma alinisamee kodi yake 😂😂😂 good music speaks English.

Chapesamedia
Автор

Mziki wagusa roho yatuliza mawazo ya let's upendo hands clap from mbsa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

fauzia
Автор

One day Yes


He will be biggest star in Africa and the World

yojoruta
Автор

Kenyans lets gather here and show some love for BRUCE AFRICA...Wapi likes zake jameni

crossyentertainmentke
Автор

Broo nakupa mia tna nimefurahi kuona unawasapoti na dada zetu wa town big up broo zidi mondi huyo apo pita kabisa isiwe tna mondi iwe Bruce Africa 💪

vinafrica
Автор

Afro sounds flani hivi nakubali Mwamba

juliussanane
Автор

If you here to support @Bruce Africa and @lexsil gonga like❤️✌🏾

thegigisfamily.
Автор

yoo my brother rwanda tunakubali bsss ilifanya kazi kukupa platform na wowe ngaaa

nono-xrwanda
Автор

Broman Bruce sisi kama wana chugania tutahakikisha tunafikia 1m just in 1 month❤

kamjeshi
Автор

hiii ndo tanzania na muziki muzuri sana

adamsafari
Автор

Herd this song in a certain mix and that's why am here, , ,
to appreciate the masterpiece

brianmwanzia
Автор

Bruce Africa Pon dis again, dis again 🔥 yaani ukipatana na #Victony 'Ebelebe' mtatoa nyimbo ya kupendeza kutokana na style zenu za uimbaji

emmanuelkijana
Автор

First one to watch this amaizing piece please give me 100 like this time🔥🔥🔥🔥🔥

BadnessKE
Автор

This is Big, Wimbo huu umeutendea haki ipaswavyo kimataifa zaidi kakangu, Viva Bruce Africa "MyLove" Tunaitaja collabo moja Kenya na #OtileBrown #NadiaMukami #Jovial

nyalinyali
Автор

Upite na kwent remix ya baby ya wizzy na yey apit humu nice song let love lead

dauditillya-gyge
Автор

Bruce Africa got pure talent 🇹🇿🌍🔥🔥🔥🔥🔥🔥

marokeyLFM