filmov
tv
MAMA MARIA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Показать описание
SALAMU MAMA WA MUNGU
Mama wa Mungu iyelele aiye mama
Utuombee iyelele aiye mama
Maria mtakatifu
Mzazi mtakatifu
Bikira mtakatifu
Mkuu wa mabikira
Mama wa kristo yesu
Mama wa neema ya Mungu maria
CHORUS; (Eh mama) Salamu mama wa mungu aah (mmh aah salamu)
Wewe ndi we mama yetu aah (eeh mama yetu aah salamu), maombi yetu chukua aah, (maombi yetu aah chukua) uyafikishe kwa mwanao aah [mwanao yesu aah asante], tunakushukuru mama aah [eeh mama yetu ]aah asante
Stanza 2
Bass... mtakatifu mama maria aiye mama
Utuombe iyelele aiye mama
Mama mtakatifu sana
Mama safi wa moyo
Mama usiye na doa
Mama usiye na dhambi
Mama mpendelevu
Mama mstajabivu maria
Stanza 3 Bass
Bikira mama Maria aiye mama
Utuombe iyelele aiye mama
Bikira mwenye utaratibu
Bikira mwenye heshima
Bikira mwenye sifa
Bikira mwenye enzi
Bikira mwenye huruma
Bikira amini maria
Stanza 4 Bass
Malkia wetu Maria aiye mama
Utuombe maria aiye mama
Malkia wa malaika
Malkia wa mababu
Malkia wa wamanabii
Malkia wa mitume
Malkia wa mashahidi
Malkia wa mabikira maria
Mama wa Mungu iyelele aiye mama
Utuombee iyelele aiye mama
Maria mtakatifu
Mzazi mtakatifu
Bikira mtakatifu
Mkuu wa mabikira
Mama wa kristo yesu
Mama wa neema ya Mungu maria
CHORUS; (Eh mama) Salamu mama wa mungu aah (mmh aah salamu)
Wewe ndi we mama yetu aah (eeh mama yetu aah salamu), maombi yetu chukua aah, (maombi yetu aah chukua) uyafikishe kwa mwanao aah [mwanao yesu aah asante], tunakushukuru mama aah [eeh mama yetu ]aah asante
Stanza 2
Bass... mtakatifu mama maria aiye mama
Utuombe iyelele aiye mama
Mama mtakatifu sana
Mama safi wa moyo
Mama usiye na doa
Mama usiye na dhambi
Mama mpendelevu
Mama mstajabivu maria
Stanza 3 Bass
Bikira mama Maria aiye mama
Utuombe iyelele aiye mama
Bikira mwenye utaratibu
Bikira mwenye heshima
Bikira mwenye sifa
Bikira mwenye enzi
Bikira mwenye huruma
Bikira amini maria
Stanza 4 Bass
Malkia wetu Maria aiye mama
Utuombe maria aiye mama
Malkia wa malaika
Malkia wa mababu
Malkia wa wamanabii
Malkia wa mitume
Malkia wa mashahidi
Malkia wa mabikira maria
MAMA MARIA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
SIFA ZA MAMA MARIA - Na Lawrence Kameja - (Official Video)
Ricchi e Poveri - Mamma Maria
EWE MAMA MARIA- P.F Mwarabu by Sr Emily Jeptoo FT Lawrence Kameja
SOFI MARINOVA & MAMA MARIA / СОФИ МАРИНОВА и МАМА МАРИЯ - Кифла фафла (Official Music Video)...
MAMA MARIA NAKUPENDA SANA - MTUNZI: P F MWARABU DESPINA E. MDENDE Ft. THE GALAXY PRO FAMILY
alyona alyona & Jerry Heil - Teresa & Maria (LIVE) | Ukraine 🇺🇦 | Grand Final | Eurovision 2...
MAMA MARIA NI MAMA YETU- Kwaya ya Mt Mikaeli Malaika Mkuu Chang'ombe DSM(Mtunzi Aloyce Kipangul...
unzensiert!🤫mit Lach-Flash! 😅Leise rieselt der Schnee - Gerhild und Anna Maria (das Probe-Video)...
Evelina Rusu - Mama Maria (5 y.o)
GRAFITE: Mamma Maria Clipe Oficial - 1984 - (C. Minellono / D. Farina Versão: P. Camargo)
alyona alyona & Jerry Heil - Teresa & Maria | Ukraine 🇺🇦 | Official Music Video | Eurovision...
WEWE NI MAMA: MTUNZI; RAY UFUNGUO. #Gifted voices FT. Lawrence Kameja.
Ricchi e Poveri Mamma Maria Live Discoteka 80 Moscow 2013 FullHD
RICCHI E POWERI 'Mamma Maria' 1983
TUNAKUSHUKURU MAMA MARIA
Zanger Alex - Mama Maria
Ricchi e Poveri - Mamma Maria [Video 1983]
Mamma Maria
Ricchi e Poveri - Mamma Maria (KJ AlGer Remix)
GRAFITE: MAMMA MARIA (C. Minellono & D. Farina) Versão: Paulinho Camargo
Mamma Maria
Ricchi e poveri - Mamma Maria (English Translation)
Mt. Kizito Makuburi - Mama Maria (Live Performance)
Комментарии