MISSION IMPOSSIBLE [13]

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ngwengwe anajua jmn mnyonge mnyongeni sifa yake mpeni

BintJamal-zfhr
Автор

Chado movie nyingine usimwache najma anajua anajua anajua tena aise hiyo cin uliyomfata shuleni aise mmefanya unyama sana najima pokea maua yako 🎉🎉 🎉🎉

agnesjohn
Автор

Nzuri sana, mtoto anamsaidia mama ake asikamatwe na mama anajua mtoto anatakiw sup, Chado kashanogew tayari, kaka mtu ana juhudi za malez Bora aisee ni kali San mapambano yaendelee.

StellaPetro-xq
Автор

Tunasebeza mpaka mwisho kieleweke ninoma hii.move oy zaidi ya sikanka 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

SelemaniIddy-ncn
Автор

Wallah broo unakitu kikubwa Sana mungu akujaaliye ufike mbali Zaid tupo majo nawew ❤

ashkomhan
Автор

Iyi movie nimeipenda sana. Jaman alivyo chado na najma kama love story ya ngu mm na. Baba watoto angu sela

FatumaAbdalla-eu
Автор

Safi sana broo unapambania sana hii move

abdulisaid
Автор

Chado master, Mimi Ilo lisong nalitaka kaka

NasraJuma-bv
Автор

Leo wa kwanza kutokea tnga moja imeisha kwanini wanakuita kidemu jau sio wana nihita ndo unavyo nihita

kidukuMautundu
Автор

Kiukweli hii series ni nzuri sana, I appreciate ❤❤❤

CesiliaAndrew-cmhf
Автор

Yani napenda dady uyo musemo wake wakupiga misumari😂😂😂😂😂

angeharushimana
Автор

Hii movie toka niiyaze mpka leo iko kali sana na naipenda Big up ❤😅

shoshobbyguu
Автор

Ngadaya shkamoo 🙌🙌chado umetisha adi shule tena kwa kurusha kijiti kikampata swaumu 😂😂😂

azizahmohamed
Автор

Naipenda hii movie sana😊sema wchlwa ktupa nyingine mwtuweka n hamu😂😂

SamiraMohamed-dxul
Автор

Hongera san chado kwa kazi nzur umejitaidi san ❤❤❤

HalimaSaidi-co
Автор

unyama sana kaka tunasubiri sana ikitoka tunyainyaka

edwinkato-mg
Автор

Nimekuwa wa kwanza.leo nipeni like zangu

HusseinBizzy
Автор

Chado ww ni nooma kaka tangu nkujuwe. Umekuwa mbunifu mkubwa hakika ww ni noma Allah akuzdishie

simonsilvestar
Автор

Bora ata, nlizan nd isha fika mwisho, apo uwakik sasa😊

mikamunisi
Автор

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mashallah mungu abaliki sana kazi zenu ❤❤❤❤

fatumaselemani