JINSI YA KUPANGA MWANAFUNZI WA KWANZA HADI WA MWISHO KWA NJIA 4 TOFAUTI | RANK IN 4 DIFFERENT WAYS

preview_player
Показать описание
JINSI YA KUPANGA MWANAFUNZI WA KWANZA HADI WA MWISHO KWA NJIA 4 TOFAUTI | RANK IN 4 DIFFERENT WAYS

Karibu tujifunze jinsi ya kupanga Matokeo ya Wanafunzi kwa NJIA 4 Tofauti na njia ya nne katika mfululizo huu itakusaidia unapopanga WANAFUNZI 10 BORA (TOP 10). Njia hiyo ni nzuri sana ukiifahamu ili ikurahisishie unapotafuta wanafunzi kumi bora kwani yenyewe hairudii nafasi ya wanafunzi waliogongana. Karibu tuendelee.

#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Microsoft_Excel

MFANO WA KAZI HII UPO KWENYE LINK IFUATAYO:
Endelea …
===
*BAADHI YA VIDEO ZINGINE ZA MWALIMU BASSU*
===
JINSI YA KUANDAA RIPOTI ZA MATOKEO YA WANAFUNZI KWENYE EXCEL TU BILA KUTUMIA MAIL MERGE
===
JINSI YA KUTAFUTA POINTS NA DIVISION KWA SHULE ZA SEKONDARI KWA MICROSOFT EXCEL KWA VLOOKUP NA FOMULA ZINGINE – TOLEO LA 3
===
JINSI YA KUTAFUTA WANAFUNZI 10 BORA (TOP 10) KWA SHULE ZA SEKONDARI KWA MICROSOFT EXCEL
===
JINSI YA KUFANYA TATHIMINI YA MATOKEO YA MOCK YA KATA SHULE ZA MSINGI KWA MICROSOFT EXCEL
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kaka unaonaje kama ukatafuta namna ya KUPUNGUZA hizo miungurumo ili tuisikie vyema sauti yako.
Binafsi NAPENDA sana mafundisho yako. Hongera sana. 🙏

excel-mifumo
Автор

Sijapata msaada hapa.mi nataka kati ya wanafunzi wote, kwenye somo mojawapo, isort 10 bora tu, hata kama wanagongana isort wote

fadhilituya
Автор

hili somo sijaelewa mwallimu
naskia miungurumo halafu maandishi madogonsana tafadhali

victorsumuni
Автор

makelele tuu ndio yanasikika yan mtu huelew

LilyTarimo-ddyt