HATUA KWA HATUA Jinsi ya KUJIFUNZA na KUTUMIA Microsoft Excel

preview_player
Показать описание
Kwa watu wanaotumia namba kila mara kwenye hesabu za fedha, taarifa mbalimbali na tathimini mbalimbali hawawezi kuikwepa Microsoft Excel (au PROGRAMU JEDWALI yingine yoyote).
Hapa tumekuandalia HATUA KWA HATUA Jinsi ya KUJIFUNZA na KUTUMIA Microsoft Excel. Karibu tuanze na hatua hizi, ambazo zitatutoa kutoka sehamu moja kwenda nyingine katika kuwa magwiji katika utumizi wa Programu hii.

Microsoft Excel ni Moja ya Programu Jedwari zinazotumiwa zaidi duniani katika uandaaji wa taarifa mbalimbali za fedha, mapato na matumizi, na taarifa mbalimbali za matokeo ya Wanafunzi katika hatua mbalimbali za elimu. Imetengenezwa katika mfumo wa vyumbavyumba ili imusaidie mtumiaji kuwa makini zaidi anapoandaa kazi yake.

Endelea …
===

#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Microsoft_Excel

===
*BAADHI YA VIDEO ZINGINE ZA MWALIMU BASSU*
===

DARASA LA EXCEL;
JINSI YA KUTUMIA KIPENGELE CHA “HOME” KWENYE EXCEL
===
DELAY GRATIFICATION SO YOU ENJOY AFTER A WHILE THE FRUITS FROM THE TREE YOU PLANTED.
FOLLOW THIS LINK TO GAIN THAT MOMENTUM
===

FANYA KITU KIPYA LEO. USIRIDHIKE NA MAFANIKIO YA JANA. JITOE ZAIDI LEO ILI UFANIKIWE ZAIDI.
SI MANENO YANGU BALI NI BAADHI YA MANENO YALIYOKO KWENYE HII VIDEO. FUATANA NASI ...
=======

Dakika 15 tu “Jinsi ya Kuandaa Kadi ya Mchango wa Send Off kwa MS PowerPoint”

=======
NGOJANGOJA HUUMUZA MATUMBO
Changamkia Fursa ili Ufanikiwe na Ukawe Mfano Bora wa Kuigwa na Wengine

=======
UMEZALIWA UKIWA MSHINDI, USIKUBALI KUJA KUFA UKIWA OMBAOMBA…
=======

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Helpful, ..hongera sana kwa kazi hii nzuri.Simple but well understood🎉🎉🎉

karolinchimani
Автор

Nimefuatilia wengine lakini niseme kaka umetisha worldwide umepangilia vizuri inanipa urahisi wa kuelewa moja kwa moja ubarikiwe

michaelyona
Автор

somo lako zuri kiongozi usisahau kufundisha na kutumia SPSS

isayacharles
Автор

Congratulations you are soooo amazing I will learn from you and teach my friend today is the day teacher taught us you are solo good in teaching

luciamrisho
Автор

Ndio njema lkn hujaonyesha namna ya izo namba kuziongeza, naona umeclick kwenye 1 na 2 ni how???

jacksonnsashe
welcome to shbcf.ru