Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa mauaji

preview_player
Показать описание
Mfanyabiashara wa mabasi ya J4 Express ya Mwanza, Jumanne Mahembe amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuwaua kwa kuwapiga risasi wafanyakazi wake wawili.

Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Matajiri waswahili wa mwanza wengi ni washamba.

azizawadh
Автор

pesa ilimtoa ufahamu 😁sasa wacha yamkute

bintiiddy