filmov
tv
Watatu wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa mauaji ya kikatili
Показать описание
Mahakama Kuu kanda ya Bukoba imewakuta na hatia watuhumiwa watatu wa mauaji ya watu wanne waliouawa mwaka 2015 kwa kukatwa shingo na kutenganishwa vichwa na viwiliwili na kuamuru watuhumiwa hao kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa.