Platform - Mapepe (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Platform TZ presents the official music video to Mapepe.

© 2023 Abbah Music

Producer by Traxx Mixing and mastering by Cukie Dady (C) 2023 Shot in Zanzibar, Tanzania Directed by Sesam

Connect with Platform (Bundi) on Social Media:

Listen to Platform  (Bundi) on Digital Platform :

Verse 1
Kama ikitokea amani ya moyo imetoweka bora kunizika kuliko kukukosa 
Eh Nahata kama ikitokea nipo kwenye shida aah mi nimeridhika siwezi kukutosa 
Mmmh alafu nikwambie ewe eeh umeishika pumzi 
Pumzi ya mapenzi chochote niambie ewe eeh yani kama chizi chizi wa mapenzi 
Nami virago vyangu ndo nishafunga 
Moyo umekuchagua 
Unakuta wewe eh
Lango ndo nishafunga 
Moyo umekuchagua 
Unakutaka taka

Chorus
Aaah aaah aah aah aah aah 
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia
Aaah aaah aah aah aah aah 
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia 

Verse 2
Mmh nimetulia tulia alafu nina amani hasa ninapokuwa na wee!
Eeeh tulichumia vya juani tukaishinda mitihani 
Mimi furaha yangu ndio wewe 
Aah wewe ndio hao marafiki vijini mmh 
wasiopenda uwe na mimi 
Mmh 
watasubiri subiri 
eeh iye 
Walidhani hutokua wa mimi 
Ona wanavyodhalikika sie tunapeta na jiji  
 Nami virago vyangu ndo nishafunga 
Moyo umekuchagua 
Unakuta wewe eh
Lango ndo nishafunga 
Moyo umekuchagua 
Unakutaka taka 

Chorus
Aaah aaah aah aah aah aah X2
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia 
Nimetulia nimetuli sina mbambamba 
Aeeh sina mapepe amini kwako nimetulia
Aah nimeunaliza mwendo aah mwendo mwendo

For More Information Booking platform (Bundi) : 
Contact :+255 629094521

#PlatformTZ #Mapepe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

MZEE mwanzangu hina lako litasoma nani 💥💥💥💥💥💥🙌🙌🙌🙌

amoogrem
Автор

On fire 🔥🔥, chum kikali Noma .kma tunakubar ngoma Kali dondosha like hapa🙏

farajiissa
Автор

Mkali wa melody platform brother unaua sana Tupo pamoja 💪

producerdyson
Автор

Hapa sikomenti Kama fun ila Kama mwanamziki pia kutoka mombasani dahh bundi huuwa 24/7 next work namuitaji bundi🔥🔥🔥🔥🔥🔥

youngshivaofficial
Автор

Tulimisi ngoma zenye utulivu mashabiki wa bongo flava platform umetuweza kwa Ngoma hii ni 🔥

shabaningaoga
Автор

Hii Ni Kali bro Kenya Tunapenda bongo Songs. Ukweli Ni kuwa wasanii wetu hawajui kuimba wanabahatisha Tu

ibrahkenya
Автор

King of new artist in bongoflever is on air

amonndenza
Автор

Ila platform unajua ningekuwa na mipesa ningekuajiri uwe unaniimbia mim tuu❤

mahsadally
Автор

kama we ni fans wa bongo music gonga like

mikelexus
Автор

Kama unaamini platform sio underground tena piga like💥

Izz_tz
Автор

hapo sio brazil ni nyumbani kwetu home sweet home zanzibar✌🏾

nassorsalum
Автор

Km unamkubali huyu mwamba fanya km unagonga like nyingiii 🔥🔥🔥🔥

agustinocharles
Автор

I can't get enough of this song. It was a well thought out song, lyrics on point, video quality on point. Much love from the 254

ms_aj
Автор

platform is sprit of music in TANZANIA🇹🇿

godey_tz