Muu Flow ft Platform - Why (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Official Music Video by Muuflow Ft Platform performing "WHY " Producer Sky , mixing and mastering by The Mix Killer (C) 2023 exclusively licensed Under (Muu flow). The video was shot in Dar es Salaam, Directed by Folex

Written and composed by Muu Flow

Listen to Muu flow on Digital Streaming:

Connect with Muu flow on Social Media:

+For More Information Booking Muuflow:

Digital Distribution by Digital Tanzania (DT)

©2023 Muuflow .All rights reserved.
#Muuflow #platform #why
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

THANK YOU SO MUCH MY ALL FANS FOR GOOD SAPORT ❤❤🙏

muuflow
Автор

Bigg upp sana mdogo angu nakumbuka toka tanga mkwakwani stadium mpka sass ulipofika pakubw sana mungu akuongoze kwenye mafanikio yako mdogo angu mm ni shabiki yako mkubwa bigg bless muu ❤💸🎵🎬

Ramadhanjuma-digb
Автор

Ujio mzuri... Binafsi namjua Dogo toka Dk 10 za maangamizi ...Congrats kwa East Africa Radio na Dk kumi za maangamzi...

Mr.Nyingi
Автор

Nimeisikiliza Mara 5 hii nyimbo, I came to like this song is fire we love you from Zambia lusaka 💥💥💥💥💥💥💥 love your music

prophetichourwithgod
Автор

Platform you drop this bruh 👑🥂, your mad bruh 🤯, your voice lite 🔥, your verse and chorus ❤️👑🙌🏽🙌🏽 0:49

bruhchrislynch
Автор

Young King sungura Mr. Muu here we go kamanda dude ni kwere ase ckupng ktk kipaji ulichinacho chukua hyoo

jozzathebadface
Автор

🔥🔥🔥ipo sawa kakaa hizi ndio ngoma tunazotaka vitu ambavyo vishatutokea maishani

aboilangababathuma
Автор

Sema kumamaqe uyu msenge platfom so poa ilo lisaut mamaae....

Respect

Mpigadebe
Автор

*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

arabgandaempire
Автор

Usije kukata Tamaa nakuonea mbali sana muu we unajua na umebaki hatua chache kua msanii mkubwa Tanzania

beckayabiy
Автор

My G #Muuflow has done it again👽😎✊
Hit Kali Aisee 🤝🫂

ShaffiiAbdillah
Автор

This are international vibes, cool and amazing music 🎶.Much 💕 for this bunger 💯

nicholaskiminza
Автор

More love from kenya here for platform....deep content in the song lyrically genius

levistv
Автор

I'm from Kenya i really love this song #why 💪💪💪

kimm_Kennyke
Автор

Support this young Talented kid🎉🇹🇿🇹🇿🇹🇿

fahmiabdallah
Автор

MUU the Bad Man bro Wasikudanganye eti Auna kipaji Mungu mwenyewe ndo Nguzo Yako
It's your boy Akim dollar again

akimdollarmusic
Автор

Kwel mdogo wangu tumeshafika YouTube wachache kati ya wengi kutokea Arusha ila nikuahidi tutapambana iwezekanavyo ngoma Kali sana tena sana platform amekubariki pa kubwa sana

kanjutz
Автор

Hii ni bomba ya kolabo safi mmeua saana 🔥🔥

kantaemondy
Автор

Platform Kaka umemng'aria sana dogo god blessing

mohdloushmoney
Автор

Nimeielawa sana hii
Unavyo zid kutoa kaz mpya naona kuna manadiliko mazuri

azimioalbertongellangella