CHADEMA, ACT WAUNGANA, WATOA TAMKO ZITO LA UCHAGUZI MKUU

preview_player
Показать описание
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402),
🔘WhatsApp ( +255 692 318213)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Poleni sana ndugu zangu mliomba maridhiano hayakufanyika Leo mnaomba uchaguzi urudiwe mtafaulu? Kweli mungu ndue mtenda haki

zephaniachibaya
Автор

Jamani mimi najitolea kuwapa vitoto vya nguruwe na kwa asiependa nguruwe nita mupatia kitoto cha mbuzi ili muanze ufugaji ili kuzinusuru familia zenu na baa la njaa.

oswardjaphary
Автор

Mmeshaangukia pua jaribuni kufanya kazi zingine ..Mbowe unaongea uongo ..Wasiape ..ccm ituletee maendeleo kwa sasa ..Mngeungana mara ya kwanza na masasipenda yenu

Nyanda
Автор

Ni muhimu kupaza sauti ili ukweli uchukue nafasi yake

saadaissa
Автор

Namsipende kutamkia watanzania semeni nyinyi ndio mnapinga sio watanzania huo ni uchu wa madaraka tu usingizie raiya wako majumbani kwao na maisha yanawaendea salama na amani nyinyi mnapinga kama mlivyo kutana kutoa taarifa na mtoke nyinyi wenyewe labda na wake zenu na watoto wenu mkaandamane watoto wa watu muwaache wazazi wao wanawategemea

salimbinargan
Автор

Hebu kafanyeni kazi nyingine mnatuchosha yan

moshykimario
Автор

Sikujua Kama siasa ni ajira
Mtu akifukuzwa kazini huwa inauma kweli

shoxmocormasasi
Автор

Naona wahuni wanatia saini za maandamano
Andamaneni tu ila marufuku kukimbia
ila wengi wenu hapo ni wale ambao mmepoteza majimbo yenu tulieni tu kama mnakunya

husseinshamte
Автор

Wameanza tena kama kipindi cha Corona, kutaka Lockdown, watanzania wameshafanya yao, uchaguzi umeisha waacheni waendelee na maisha

japhetdaud
Автор

Wauni wore wamekutana, mipango vyenu tzn amuwezi, na ago makundi in vyenu,

baptistaseverinonchamocose
Автор

No kazi kubwa mno kupambana na system ili haki itawale

saadaissa
Автор

Please please msiandamane bali muitishe maombi nchi nzima. Kumbukeni Mungu anatenda kuliko kutumia nguvu na akili zetu

annapeter
Автор

wasenge si mlisusa bunge nyie, sasahivi mmepigwa spana mnalilia bunge tena, kaeni tu majumbani mwenu corona bado ipo!

baltzrluus
Автор

Hii ndio kawaida yenu kupinga kilakitu tushazoea hilo si geni kwetu

salimbinargan
Автор

Mm Leo naangalia hii clip then naiangalia ACT wazalendo kukubali nafasi walizopewa na rais mwinyi wakati walisaini kutokukubaliana na matokeo.... kumbe zitto alikuwa na nia yake wenzake wasuse yeye alambe duuh kweli akili ya kuambiwa changanya na zako

robertchristian
Автор

hata kenya kulianza hivyo but u have to be careful msiaribu nchi yenu

stanleycheboit
Автор

Ndo mmepotea hivyo kubalini matokeo JPM jembe linalima

jurakijuraki
Автор

Msisema watanzania! Semeni nyinyi! Watanzania ndio wameichagua ccm! Mbwa nyie

wilfredmlaki
Автор

Ww kalale tyuu wembe ndo ule ule asiyekubali kushinda so mshindani

alfredyjustinian
Автор

There is no ground of politics in tanzania

saadaissa