Diamond Platnumz - Acha Nikae Kimya (Official Audio Music )

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Acha nikae kimya mm bado mtoto mdogo Sana.

petermwaiha
Автор

Wakenya mko wapi, njoo msikie ujumbe Simba aliimba miaka tisa iliyopita. Moto sana 🔥🔥✊✊✊🤲

silvestermaake
Автор

Sisi sote ni taifa moja, tuijenge Kenya.

petermwaiha
Автор

2024, baad ya kukisir kwa matukio ya mauaji, utekaji, ulawiti na ubakaji Tz 😢😢

Menino
Автор

Simba lama Simba lama dangote, ..uko juu nime kaa leo nna mawazo nkaji kuta nimerudi uku legend🙌🙌

jokamau
Автор

Kumbe kuna nyimbo nzuri hivi na hamsemi watu mna sili

leonardmwilaph
Автор

One of the best songs (+ Hainisumbui and Kipi sijaskia fr. Prof. Jay) to dedicate to your colleagues at any work place cause binadamu ni walaghai sana

Hawapendi kuona Wala kuskia unafanikiwa Kwa vyovyote vile

antifonamiles
Автор

This song is deeper and touches on issues affecting the country political climate. It's so poetic gem with a has deeper meaning that what on surface it may seem.

fredrickmunyoki
Автор

Why is this song so underated? It should be having millions of views bana🔥🔥

KelixCreative
Автор

5n sana broh kweli sazingine bora kukaa kimia I 4rm Kenya upcoming bongo flavour artist

HillaryCooperHillboy-jyfz
Автор

Hiii ngoma nani anaisikiliza leo 23/09/2024😂😂😂

kelvinsayango
Автор

i used to listen this song while at webuye, sotik and meru in aim of sales Ed marketing..where I used to be paid commission of 20% before I get my 200kshs I had to sale a product of 2000ksh I return 1800 to managers office....very painful...

Samuelmwendwa-ze
Автор

wee zombie back again afte 7 years still a hit

Reubenmanyara
Автор

Uliposema aisemee haki ungesema niitetee haki inge waka ila no one is 100 percent

baucha
Автор

Beautiful words
Amazing pace
So so so peaceful
Diamond please sing more songs like these that inspire

idbyvbrandidentitystrategy
Автор

My song ❤️ nikiwa form 4, this was my song and nothing bothered me, nipite nisipite I caredless

VanbastanMutharimi-jyse
Автор

Favorite song of all DIAMOND PLATNUMZ TO THE WORLD

Kelvin_Rashid
Автор

😢😢😢 diamond platnumz siku ukifa na Mimi staki skiza mziki tena

djgthehotstepper
Автор

Nyimbo nzuri sn kuliko zote ulizowahi imba hongera sn big inspiration

stanslausmteme
Автор

When I wake up, huu ndio wimbo wa kwanza kusikiza

officialgladys