Roma - Viva roma {New music song}

preview_player
Показать описание
Artist - Roma mkatoliki song- viva roma
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu kaka hii nyimbo ilimletea shida jamanii😰😰dunia hii Ila anaimbaga ukweli na wananchi wasanii Kama Hawa tungekuwa tunasapot hii nchi ujingaujinga unaoendelea ungekoma 👏👏mungu akulinde sna roma🥰🥰🥰❤️

suziemgata
Автор

Iko poa sana safi san roma tumekumis bongo fanya ukuje kaka mkubwa

stivenjiduki
Автор

Ujumbe wa ukwelii kabisaa, amepigilia msumarii mle mle.

georgekaruga
Автор

Round hii kombe linaenda masai yero subai yeyo takwenya hahhaha, na bora lingeenda monduli kwa mzee mamvi nilitaman sana tubadilishe chama tubadilishe utawala tuone wapinzan nao watafanya nini ikulu.

gadimbajo
Автор

Leo ni 09/09/2023
Kwangu mimi huu ndio muwa wa maana kuwah kutolewa na R.O.M.A the great 🙌

titusosano
Автор

Tanzania yote Sita tokea mtu aimbe kama roma 💪🏾💪🏾🦾

barakarogasian
Автор

hii n zaid ya ukwel lakn sidhan kama atapewa utalivu ktk maisha ya kawaida. ukwel unauma nyie achen

ibnbakr
Автор

2021 bado ninayo hii nyimbo big up bro.

saidmungulu
Автор

anitajie mtoto wa rais anaesoma shule ya kata, , , viva roma viva

muhammadrajab
Автор

Tanzania hatupaswi kusherekea Uhuru huu wimbo unaniuma sana nikiona yanayotokea hivi sasa nchi yetu inauzwa mdogo mdogo 😔

PhillipMwakibolwa-kpfd
Автор

Mkitaka kuniuwa hakikisha sifii hapa mchinjen mkanitupe kwenye daraja la mkapa duh:tupen like zako kama unamkubali roma

jacksondauson
Автор

Roma mdogo wangu uko wapi? Endelea kufundisha tuuu

andrewmseya
Автор

Sana janja usiogope tunaish bro vp uko mkal

peterkinglunya
Автор

Uliosema ndio mama anasema Leo urais ni tasisi

saidkanji
Автор

Au mtanaka ivan awemfuasi wa panya road

islamuseif
welcome to shbcf.ru