HIZI NDIO NAULI ZA KUTOKA TANZANIA KWENDA CANADA (MAISHA YA UGHAIBUNI )

preview_player
Показать описание
#Calvin #RTLPlus #TemptationIslandVIP #TemptationIsland

#Calvin #RTLPlus #temptationislandvip kwenye channel yangu Naongelea mambo mblimbali , maisha ya ughaibuni ulaya, kazi , schoraship ,mapishi ,elimu , urembo, vlogs , interviews , stori za maisha na mambo mengii msisahau kusubscribe hapa
Maoni , ushauri , kutangaza nasi tuandikie instagram Mama Franjo Vlogs

Track: N3WPORT - Alive (feat. Neoni) [NCS Release]
Music provided by NoCopyrightSounds.
- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -

SOCIAL MEDIA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dada asante Sana unatuelimisha vizuri sans Mungu azidi kukubariki

rosedaud
Автор

Mimi mgeni leo ngoja niguse kengere mama franjo

nandondenandonde-jnzq
Автор

Mama franjo mimi dreva wa maroli nahitaji kwenda canada kutafuta kazi unisaidie

bahatimajondo
Автор

Mimi dada niko Tanzania upended wa zanzibar kiasi gani

DaudScience
Автор

Nakuja Canada december🎉 Alberta nimepata visa

TzCanada
Автор

Thanks sister I'm understanding you know 🙏🙏🙏

barakastephano
Автор

Sister uhai tuu ila na sisi tutadunda tuu hilo beach tunahasira nao

rastapeace
Автор

Haya Asante Mimi Nina rafiki yangu yupo kanada Nina myaka mingi sana sijaonana nae napia nilipoteza mawasiliano

AbdalallaBrahimam
Автор

HAIYA WALE WALIOTAKA VIDEO YA NAULI ZA KWENDA CANADA LEO NIMEWALETEA NAAMINI ITAWASAIDIA KWENYE KUJIANDAA KWENDA CANADA , mngependa niwaletee video ya nchi gani au kitu gani kingine

mamafranjovlog
Автор

Je dd samahani mfano unataka kwenda Canada hujuwi hata kingereza je itakuwa je

swalehjuma-by
Автор

Mama f naomba kujua garama za zote kwa pamoja ninakijana wangu anahitaji kufanyakazi kwenye makampuni Canada yeye ni fundi umeme Ila akikosa hiyo japo yoyote Asante

jumannejuma
Автор

Mama Fanjo mi fadhili mbona umetoka live insta

grahamshadeer
Автор

Thanks ila kama ukianza na Vz ya kanada na nauli yke vp bei gani itafka milion 10 au

SuleymanSaid
Автор

Habali Mamy na Mimi. Nimtanzania na hitaj Kaz huko naomba unisaidie naitwa neema

lucygama
Автор

Habari nahitaji kuanza process za kwenda Poland

samwelibrahim
Автор

Dada napenda Sana vipindi vyenu Mimi mwenyewe nimejarjbu Sana kutafuta safari Yamuna mbele na kuna rafiki yangu alinipeleka kwa mdada aliyesema atanisaidia nikampa pesa huu mwaka wa tatu hats mawasiliano na Mimi kanikatia hivo nimesikitika Sana lakini sijakata Tamas mm nilitaka nije nipambane Na maishe kwa shughuli za mambo y a umeme

ShabanMkumbange
Автор

Mdada Nisaidie kuingia Canada utaratibu ukoje

msafirisaimoni
Автор

Asalamm alaikum naomba kuuuliza iv unaweza kwenda kufanya interview kwa kishwahili unapokwenda kuomba visa ya marekan

shemmsa