Joh Makini - Dangerous ft Nahreel

preview_player
Показать описание
#JohMakini #Dangerous #Nahreel #Slidedigital
(C) Slide Digital

Joh Makini Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Joh Makini

Follow Joh Makini on:

Joh Makini is a top Tanzania Bongo Hiphop artist.His witty ryhmes and wordplay have made him into a household name in Tanzania and Africa,He is a renowned rapper known for his skillful use of metaphors, wordplay, and freestyle abilities.

Born as John Simon Mseke in Arusha, Tanzania on August 27th, 1980, he began his career as part of the River Camp group and released his first hit, "Chochote Popote," in 2006. The following year, he released his debut album titled "Zamu Yangu."

He has collaborated with many international artists, including the late AKA, Davido from Nigeria, and Navio. His talent has earned him the Best Hip-Hop Artist award at the Tanzania Music Awards in 2012.

Get a taste of Joh Makini's unparalleled lyrical prowess now !

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwel ni dangerous🔥🔥ARUSHA TUNA LIKE KWA HAPAA👈

geofreyelphjr
Автор

Wapi Likes za nehreel hapa. Love from nairobi

lovistar
Автор

Kama mependa joh Makin karudi kwa nahreel hit like
Apa narudi kuwa shabik yako .

SwahiliAmbasador
Автор

Aseeee Kama umemuelewa nahreel ni dangerous like Kwa pande hiii

ismailymakame
Автор

Nakukubali sana Mwamba wa Kaskazini...!!!

francismliga
Автор

Me naona joh ungetoa movie ya hii nyimbo ungefanya vizuri sana mnafanya pamoja na wale jamaa wa bongohoodz

mtumweusy
Автор

##Goma kali sana jaman... Leo samakisamaki lazima lipigwe....##

williamloserian
Автор

Naaaam kama joh karudi kwa nahreel tutegemee mawe ya uhakika kama haya, joh bila midundo ya nahrel ni kama mboga iliyoungwa vizuri mwisho ikose chumvi

haysanhassan
Автор

Ngoma ni kali sana, joh makini we ni dangerous🇰🇪🇰🇪🇰🇪

delvanngomo
Автор

Sio Siri joh wewe ni nouma na hapa kwa hii ngoma daah kweli ni dangerous

kessynyabu
Автор

Nahreel - the best music producer in Tanzania.
Kuna bass inapigwa hapo hatari sana.
Big up Joh makini, song ni kali sana

alextanzania
Автор

Ubunifu mkubwa Sana humu ! Nahreal na joh makini no shida ..kaskazini ni 🔥

mangiclaus
Автор

KILA siku NABISHANAGA NA JAMAA ZANGU huku MTAANI NAWAAMBIA @ ANA HIT KIBAO GHETTO Wanabishaga kinoma sasa cheki hii @ NI LIT gonga like hapaaa @ ON DA MUDERING BEAT

elardmadeez
Автор

Bonge la Ngoma... Nairudia rudia... Bonge la mdundo kwa sabufa...

Joh Makini yuko juu... Big up sana Joh...

ericknamakonde
Автор

Weusi bado wanamuhitaji sana nahreel... ✌🏾

taky_
Автор

Bad man ting...#AfrikaRising Weusi Kampuni 🇰🇪💯🌍🔥

kelvintymwaura
Автор

Joh Makini is a legend hajawahi kukosea

hamisimkongo
Автор

Mimi ndo nasemaga kila siku Joh makin anaweza kuwa sio rapper mnoma but huyu jamaa kama ni kuchezea beat, basi next levels!...replay it n feel it again and forever, this song will hit you once and remain for million

inclyrics
Автор

Duh joh atasioni rapa wa kufananishwa na wewe africa

valencyjanx
Автор

Watanzania bna mziki mzur viewers chache copoa kbisa

adolphmwangoje
welcome to shbcf.ru