Brayban Upo Simpo (Official Lyrics Video)

preview_player
Показать описание

Please like, subscribe, comment
Thank you.......

#mahusiano #mapenzi
The song is special a for lovers specifically at this #valentine period, it paints a vivid picture of a sincere and simple love, the cherishing the beauty found in genuine connections. The commitment to stand together in difficulties and appreciate simplicity is a powerful sentiment.
Lyrics
Penzi halimei kwenye matope, linamea palipo moyo mzuri
Kwenye shida mahi tuwe wote, tupendane kama Fahi na chui
Aku! Sikatai we niroge, ila kwako niwe peke yangu,
Tupatane kijani tuhomoke, nivumilie madhaifu yangu

Haki ya Mungu walahi,baby buuh, Penzi halitaota mkia
Wanaonataka kupima tunapendana, watajua wenyewe
Natoka daresalama kwa miguu, kuja tu kukusalimia
Huko ndani ndani Ushagoo, mpaka unielewe

Chorus
Nachokupendea uko simpo, huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simpo, huna mambo mengi uko simpo
Nachokupendea uko simpo, huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simpo, huna mambo mengi uko simpo

Baby iih senjee, tell me what shall we do
Baby iih senjee, tell me what shall we do
Baby iih senjee,what shall we do

Verse 2
Hauvai mawigi, haunywagi mipombe
Haupaki make up, wala maskala
Shape kienyeji, wewe ni promax
Hauvuti mashisha, wala sigara
Wewe sio Zuwena wa Diamond, wala Salima wa Linex
Tuwe kama Julietha na Romio, tupendane vya ndani ndani ooh
Niko radhi kashamba niweke bond, ili tu nisikukose
Tuwe kama Julietha na Romio, tupendane vya ndani ndani ooh

Chorus
Nachokupendea uko simpo, huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simpo, huna mambo mengi uko simpo
Nachokupendea uko simpo, huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simpo, huna mambo mengi uko simpo

Baby iih senjee, tell me what shall we do
Baby iih senjee, tell me what shall we do
Baby iih senjee,what shall we do
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Please like, subscribe, share and comments, let’s spread love all over the world

Brayban
Автор

Mimi kama mkenya nasema kwamba Tanzania watupe respect maana comment nyingi hapa za wakenya❤❤❤❤❤🎉 kama wewe mkenya piga like twendele kusapoti msanii

sephbuche
Автор

Mimi kama Makasa wa Kenya nataka mkusanyike hapa tumpe support our superstar from Tanzania 🎉🎉🎉❤❤😊

mradiboymtotowamilka
Автор

Hii Ni fere Mwamba brayban 🇹🇿🇰🇪 Kenya Tunakupata vyena kabisaa

ibrahkenya
Автор

Wapi likes za kienyeji pro max wa pale TikTok 👍

keithwamoyi-syll
Автор

Moto sana ...yatuliza kabisa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪...wanikumbusha Oliver Mtukudzi.."what shall we do"

anthonymwathi
Автор

Good one keep moving broh much ❤ from Kenya 🇰🇪 👏 👍 👌

NaomyP-ly
Автор

I'm in love with the song right, , , keep up bro 🌹🌹🌹🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

NancyMinoo
Автор

Tiktok brought me here nice one....beats to the core

MaJBe
Автор

Wonderful the song sounds nicely like a gospel...I repeat like 5 times 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

phylismwihaki
Автор

This song is my medicine 2024 weuh tell rayvanny to sign you

HARDROCK-ne
Автор

We jamaa nakuombeaga sana utoboe, una melody mzuri sana anaekufwatilia anajua kazi zako hukosei.

kushiba
Автор

Upon simpo.Walai Ngoma inaweza ... powerful message.

josphatkimtai
Автор

The beat ni kama ya Ile wimbo ya Sara ya MACVOICE 💞 big up Brayban💕💕💕💞💗🖤

MusenyiaWambua
Автор

Brayban am really ready and willing to do anything to make sure that you prosper to the highest levels this is not your level you're just one in a million extra miles 🙏🙏🙏🙏🙏

BodyFuel-ix
Автор

It gives zuwena by diamond platinumz. Love from Botswana 🇧🇼 💕 ❤

kabelolemogang
Автор

This guy can sing ❤❤Kenya 🇰🇪 we appreciate his good work

janetcharles
Автор

Waau!..congra from kenya..kwanza apo penye amesema et "ametoka daresalaam kwa miguu kuja kumuona..imenifiaka saaanaa..i used to from far by legs pia..waau good job..

DennisoduorOtsuondo
Автор

Nilikubaliana na huyu jamaa since 2016 anaachia nyimbo inaitwa "sawa nitatulia".... keep moving brother 🤙✍️

elibarikilukasimakala
Автор

Nakutambua sana proo good wark from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

magaiwa
join shbcf.ru