Willy Paul - Tamu Walahi ( Official Video ) Skiza 9039585

preview_player
Показать описание
#WillyPaul #saldidointernational #tamuwalahi

Artist : Willy Paul
Composer : Willy Paul
Audio Production : Sav beat/ Saldido international limited
Visual : Flim Giants
label : Saldido international limited

LYRICS
Eeh × 15

Katoto hodari, akikata hodari, kiuno hodari, akipanda hodari, full shangwe anajiachia .

CHORUS
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi tamu walahi mama tamu walahi x 2

Muondoka wako tamu walahi, ukiniguza tamu walahi na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi .

VERSE

Eti baby anapenda, anapenda njaro za kipole pole, yaani mwendo wa kobe, kobe kobe kobe
Kasheri kanapendaga tu mayai na tu soseji, alafu mwendo wa kobe kobe kobe kobe.
Anafanya, namwaga jasho sho sho, natokwa na pepo popo shoti kama ya Ronaldo dodo iiih,
Ngozi ilivo nyooka, malaika my darling, ( lala × 9 )
PRE- CHORUS
unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe, eti pepe, naskia tu pepe

CHORUS
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi tamu walahi mama tamu walahi x 2

Muondoka wako tamu walahi, ukiniguza tamu walahi na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi .

VERSE 2

Mtoto anataka tucheze tu baibuda maimuna hataki pressure, ooh my lover.
Ooh baby ukiniguza wanitia haya, na unavokata chumbani mama unani maliza, aaih mama, mama, wanimada mama, wanimaliza mama, mmmh mama. Wanaokudharau, wana roho mbaya.. itabidi wafunge virago warudi waliko toka. Shindwe pepo mbaya!

PRE- CHORUS
unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe, eti pepe, naskia tu pepe

CHORUS
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi tamu walahi mama tamu walahi x 2

Muondoka wako tamu walahi, ukiniguza tamu walahi na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi .

Muondoka wako tamu walahi, ukiniguza tamu walahi na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi .
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ulivyo fundi nyumbani kwa 2024 but the song still hits in my ears

Obadiah-zp
Автор

Najua mko hapa after what happened in Furaha fest. Kumbavu zenyu let us support our own

kevinomondi
Автор

I’m a Nigerian but love this song. I keep playing all day. Can someone like my comment

meritgordonobua
Автор

Wakenya ndo naland huku after paka wa tanzania kuleta ujinga huku kwetu ka uko na mimi piga like 👍

JohnMuriithi-yi
Автор

ukweli na usemwe jamani, Pozee ni mkaliii🔥🔥🙌🙌

DogoCharlie
Автор

Willy Paul fundi halali wa mziki and not so many can argue with that fact🔥🔥 Hii pia ni tamu wallahi

commentator
Автор

Pia mimi nimeskia hii wimbo nikaskia pepee😊😊kazi safi

kadusko_tv
Автор

After the battle you and diamond I starting listening your songs Zambia and Kenya ♥️🔥👍🇿🇲

AbelSimfukwe-wwgs
Автор

I don't understand a word sung, but geewiz, I like the song...🎶

lindih
Автор

Willy Paul, hujawahi tuangusha mafans wako, unrepresent Kenya vizuri

ganboyke
Автор

I WONDER WHY PEOPLE ARE STILL UNDER RATING WILLY PAUL 🎶🎶🔥🔥🔥🎶🎶

ANKOeTV
Автор

Ngoma tunacheza ni za pozee hadi 2026🎉❤❤❤❤❤

KegahKadaddy
Автор

Am here after furaha fest... who is here with me

lavinesusan
Автор

Kaka willy paul you are the best 5days tutah fika 1.3million views I known you have Delivered very well

official.kakajay
Автор

Najua sasa tunaingia trending sasa hii wiki yote🔥🔥🔥👊

hilarious_aura
Автор

most underrated artist in Kenya lakini mungu ni nani keep winning pozze to the world 💯💪

mongarenation
Автор

the king is always a king hii ni tamu a banger...Qatar tunaondoka nalo ngoma kubwa likes za pozee zikam👍👍👍

Ramz_fernadho
Автор

Hapo sasa Namesake! Will be streaming hizi ngoma
daily!

paulmbugua
Автор

I fully admit kuwa kijana wetu amechiinja hii kitu 🔥🔥🔥

mwanawote
Автор

Kijana yetu....😆na pozze n ule tu msee auwezi choka na yeye..alafu style yake aina wengine...Mungu amekutoa mbali bro nakumbuka struggle manze ...ntakua nakuombea ung'ae zaidi

sacohg
visit shbcf.ru