Willy Paul - Chocolate ( Official video )

preview_player
Показать описание
#WillyPaul #saldidointernational #chocolate
Artist : Willy Paul
Song : Chocolate
Composer : Willy Paul
Video Queen : Amberay
Producer : Sav Beat
Mixed and Mastered by : Teddy B
Record label : Saldido international

WILLY PAUL - CHOCOLATE LYRICS
basi kama we kitanda
mi ndio kwichi kwichi
aah tamu halua jigi jigi
basi ting badi malo niku gidi gidi
basi kama we kitanda
mi ndio kwichi kwichi
aah tamu halua jigi jigi
basi ting badi malo niku gidi gidi

wanasema kibaya chajitembeza
wanasema kizuri chajiuza
umeniwacha mdomo wazi
namwaga mate
na ukamtoa nyoka pangoni
eeh eeiih usije nizingua

(ooh unanipa furaha isio la kifani oh) x2 Mashallah

CHORUS
mpenzi wewe ni chocolate
ooh baby chocolate
wewe ni chocolate
oh mamy chocolate X2

Baby hata kwenye okada mi nitakubeba
na wenye roho mbaya wataona mbaya, wataona fire
jameni mapenzi kivuruge, inavuruga
kimenikata maini,mwenzenyu hata si amini
Mapenzi ina changanya,
mpaka matonya anaimba violeti
inachanganya mpaka mwenzenyu naimba chocolati
changanya mpaka na chibu anaimba jeje jeeeh
na kiba aje, nifanye aje

(ooh unanipa furaha isio la kifani oh) x2 Mashallah

CHORUS
mpenzi wewe ni chocolate
ooh baby chocolate
wewe ni chocolate
oh mamy chocolate X2

(ooh unanipa furaha isio la kifani oh) x2 Mashallah
(ooh baby tamu chocolate ) x 4
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jamani Mapenzi Nivuruge, Mapenzi inachanganya mpaka Matonya anaimba Violeti🔥🔥Nipeni Likes za Pozee na Chocolate wake🇰🇪🇰🇪

DogoCharlie
Автор

I will Leave This Comment Here So That each Time Someone Likes It, I will Come Back To Sample This Amazing Piece Of Cool and Fresh Music. Thumbs up Pozee

Immortalob
Автор

Love From 257 Bujumbura Bdi🇧🇮, Nipee like zenu kama unaamini Pozee ni Msani wa East Africa kwa Ujumlaa🤞🤞

pontiennintunze
Автор

I was here before the song hit 10 million views within two weeks❤️✌️

PLUGTVKENYA
Автор

It's the ting' badi malo nikugidigidi for me, , much love pozze

dorcusakinyi
Автор

I don't understand Swahili but hii Ngoma iko na vibe kubwa mitaani kote🔥🔥

ainovenus
Автор

After this ni colabo Sasa 🔥🔥...Mambo Moto

Mpashompasho
Автор

Hakuna Kupinga, CHOCOLATE is a masterpiece 🔥

KenyaNewsTodayTv
Автор

That part "unanipa furaha isio la kifani ooh" my best part🔥🔥🔥🔥

lydiangugi
Автор

Ikiwa amba ray ndo vixen wa willy paul sheril ana dreams

joycewanj
Автор

I think we all can agree that even if Willy Paul tried to dissapoint us, he is just too good🔥🔥🔥

kafence_official
Автор

Willy Paul is our own Kenyan Hitmaker🔥🔥💯 Banger after Banger imagine juzi tu tumekuwa na Toto🔥🔥 today Chocolate Eeish 😍😍 Rusheni mawe but huyu jamaa is the biggest Hitmaker in Kenya 💯💯

raymond
Автор

I'm leaving my comment here, so that when you like it I listen to this masterpiece again!!!!

ivaniswekha
Автор

ONLY WILLY PAUL & OTILE BROWN CAN TAKE KENYAN MUSIC AROUND THE WORLD 🔥🔥🔥

ugenyaboy
Автор

litawachoma sana mwaka huu, we just getting started fam. thank you all for the support.

saldidointernationallimite
Автор

Trending Now Tv waiting for this big tune . Lazima trending number 1

motivationalwords
Автор

Leave alone Willy's legendary music...he is honestly one of this few musicians trying hard to keep the Kenyan music on top.If you agree tumpee likes zake jameni💯💯

vivianabuga
Автор

Willy Paul unajua Sana mwanangu tz tunasaport nyimbo zako

fransisigulu
Автор

NO DOUBT FOR THIS. EVERY SONG THAT TRENDS ON TIKTOK IS LITERALLY A HIT & PERFORMS WELL ON YOUTUBE AS WELL... WE ARE WAITING TO FLY HIGH WITH 👑

OfficialGinKerry
Автор

The unanipa furaha hisiyo na kifani part y 😘🔥🔥🔥🔥

calebmumo