Mbinu za Kuzuia Magonjwa ya Kuku

preview_player
Показать описание
Mbinu za kuzuia magonjwa ya kuku 2020
1. Chanzo cha vifaranga,
Sehemu ambapo unanunua vifaranga, inaweza kuwa chanzo kikubwa cha vifo kwa sababu magonjwa ya kuku yanaweza kurithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine na kusababisha vifo kwa vifaranga

2. Banda bora la kuku
Ujenzi wa banda bora unaweza kuwa suluhisho kubwa la magonjwa ya kuku, kwa sababu banda bora husaidia mzunguko wa hewa, kuzui unyevunyevu na kuwapa kuku nafasi ya kutosha.

3. Kutoingiza wageni, ndege, kuku bandani kwako.
Hii ni njia mojawapo ya kuzui magonjwa ya kuku kutoka eneo moja kwenda eneo jingine.

4. Wape kuku wako chanjo zote
Chanjo huwakinga kuku dhidi ya magonjwa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mim natotolesha vifaranga wa kienyeji kutoka kwa mama zao lakin wanakufa Sana, wanatoa kinyesi chekundu na cheupe then wanakufa, naomba muongozo wako mtaalam nateseka sana

nuhumgungile
Автор

Kwa mm ambae nimechelewa kujiunga kwenye group la wasap nafanyaje au mpk nisubirie tena awamu nyngne?

protegnesmuzigaba
Автор

mm shida yangu ni ugonjwa wa fowl pox na colyza

ramayasly
Автор

namba yangu ya what'sapp ni; +254718715971

ramayasly