MY SWEET [ 3 ]

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jamanii nimefurahi sana kumuona wa kwetu Daniel unajua kufurahisha I love so much ♥️🥀🥀 pokea maua yako na mama RK hapo chukua pongezi zako Kwa kazi nzuri🤱💗👏na kizazi chako kibarikiwe zaidi ingali bado u Duniani

SelinaJohn-st
Автор

Aah chike umeupiga mwingi hapo Hadi nimebaki natoa machozi hakika hii movie umechza vzuri Kwa upendo wa dhati Kwa make wako ivyo ndivyo invyotkiwa Hongera sna 🤝💞💞👈

SelinaJohn-st
Автор

Huyu mama ineya nikimuona kwa movie huwa nafurahia aise, , , nakupenda mamaangu kipenzi❤❤❤🎉🎉🎉

MillyYulemmoja
Автор

jamn mchumba wa ainea anasautii nzuriiii 🎉🎉🎉🎉🎉

everngilangwa-ty
Автор

Sema yaani RK unazingua kaka kwenye movies unakuwa unaonekana mara moja tu tena mwanzoni hii sio poa movi hazileti hamasa bhana sijapenda

Festus.
Автор

Jamanie baba kaniabia nisipo Rudi na likes tatu ata nihusu niangalie tena Imovie nisaidienie 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

KyonaKyona-cw
Автор

Mtu wa mwisho kufunga movie my sweet nimetoka kwenye movie ya DONTA TV NA SAMAHANI ASANTE niko sai kifunga movie ya Rk my sweet kazi nzuri sana Rk my sweet🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

Najmahnyangasi
Автор

Kazi nzuri Mr. Tunga RK, salute to Chike na Maxii. Nicole akuje pia👍🌹🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇧🇭🇧🇭

WollfitOntomu
Автор

Chick, Ben, maua yako ❤❤ so romantic. Unajua kucheza kila character unafit.

emmaflorajohn
Автор

Watching from Zambian well done job Rk, Just waiting for episode 10 last chance

FelistusMulenga-zj
Автор

Jamani musicheleweshe sana Bron ❤❤🇨🇩🇨🇩

AstrideBike
Автор

penda sana ww benlii yani kwa kubembeleza uko juu nimesikia raha mpaka ndani ya roho nmeona ni mm nabembelezwa 🤗

MishelMwambega
Автор

Nzuri sana mmetisha sana ila usisahau sisi mashabiki tunataka muwenamaliza kazi tuenjoy vzr❤🎉

DelphinaJohn-wc
Автор

Huyu ni mamake ainea mzazi au.... maana wamefanana sana.😅😅

shadowboy-ke
Автор

Aisé nafuraiyaka sana kama naona uyu maman ni mutu mwenye anatufundishaka mambo mengi😂😂😂😂😂😂 ongera sana maman ❤❤❤❤

NasbriJoseph
Автор

Rk kazinzuli sana namimihapa naitwa kizipu kutoka ndani movie ya ikaru naombo like zangu nawewe chukuwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako

JeremiaKizipu
Автор

KAZI nzuri, from Kenya nipitieni tukisonga sijahi pata likes 3 since last year

thegabbyclassicfamily
Автор

Kazi nzuri🎉🎉🎉 ila RK jitahidi uwe unamaliza kazi zako mashabiki zako tunakukubali sana

EsterLipamba
Автор

Enyewe mtoto ni mungu anapeana.alafu hata watu million moja wakukatae na mmoja yule anayekupenda akupende bado utakua sawa

jacklinekenyanya
Автор

Nampenda sana huyu mama ainea jamani🎉🎉🎉❤❤❤

EsterLipamba