UWEZESHAJI WA BIASHARA ZA VIJANA

preview_player
Показать описание
akriban vijana 32 katika eneo lote la pwani wamefadhiliwa Sh2.8 milioni kama kichocheo cha kuunda mawazo yao ya ubunifu ya biashara.

Kila mmoja wao alirudi nyumbani na KSh 90, 000 chini ya mpango wa kukabiliana na E-Covid 19 kwa wavumbuzi wa vijana, hii itakuza mawazo yao na kukuza uwezo wao wa kuwa wajasiriamali, na hivyo kuunda ajira kwa vijana wengine.

Mpango huo unafadhiliwa na Umoja wa Ulaya kwa ushirikiano na Wakfu wa Aga Khan kama njia ya kukabiliana na ukosefu wa ajira miongoni mwa kizazi cha vijana na pia kama msukumo wa biashara mpya endelevu miongoni mwa vijana.
Рекомендации по теме
welcome to shbcf.ru