filmov
tv
KCB kuwainua vijana zaidi ya 900 kupitia mafunzo ya ujuzi, mikopo na uwezeshaji
Показать описание
Benki ya KCB imeanza kutoa mafunzo maalum ya kuwawezesha vijana wajasiriamali kupata ujuzi wa kuwawezesha kukuza uwezo wa kuwasiliana na kukuza masoko ya biashara zao.
Vijana hao kutoka mikoa mitano ya Tanzania watapewa mafunzo na kuwezeshwa kiuchumi ili kumudu ukuaji wa biashara hizo.
Vijana hao kutoka mikoa mitano ya Tanzania watapewa mafunzo na kuwezeshwa kiuchumi ili kumudu ukuaji wa biashara hizo.