DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOMPANDISHA HAWA KWENYE STAGE YA WASAFI FESTIVAL DODOMA

preview_player
Показать описание
Katika Usiku wa Jana Star #DiamondPlatnumz Alimpandisha Msanii #HawaNtarejea Kwenye Stage ya #WasafiFestival2019 Dodoma na Kuperfome Ngoma Yao ya Pamoja ya #Nitarejea na Kuwa Rasmi Sasa HAWA Amerejea Kwenye Muziki
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unapenda kitendo cha Diamond kwa hawa basi gonga ma likeeee ❤️❤️❤️

ngakanimapendo
Автор

Diamond ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nalia mm hapa😭😭😭😭 wow, mwanzo Mungu amefurahi sana

celinemakokha
Автор

Surely Diamond may Allah reward you, am so happy to see this lady back she Will not forget you all her life be blessed mond 254 watching for 966

eunicesaumu
Автор

I love this song... Hawa has alot of talent na tena asharejea❤️❤️🇰🇪🇰🇪

corneloduor
Автор

Thanks big bro, naona after umeenda mjini na kufanikiwa umemkumbuka Hawa, Mungu aendelee kukuzidishia

ronnielahlion-simba
Автор

Am from Kenya Diamond you should take Hawa you guys you look good together am sorry loves Simba alimpenda bila chocho God bless you Simba more blessings for you Hawa .nilikuwa na pita Tu

njetehentez
Автор

Alieskia pendaneni ivo ivo anipe like yangu daaa adi raha

pilijuma
Автор

The best collaboration of all the time for diamond platnumz

matingo-bk
Автор

Napendea Diamond Platznum kitu moja. Ana roho ya huruma na amesaidia watu wengi. May God bless you @diamond chibu baba yao.

estherhaloim
Автор

Diamond shikiria huyo dhuy, yupo vizuri sana, anasauti nzuri ya asili kipaji alichopewa na mwenyezi mungu sio kuunga unga mimi namkubali sana hawa, na nimefurahi sana kuona mkifanya kazi pamoja.

cresensiandimbo
Автор

Wow. Diamond your just so kind luv you❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰thanks for making hawa shine make a star 💫 out of her bless you. That song Med you who you’re today

blackisgold
Автор

Nimefurahi sana leo...Hawa you've got love from us Kenyans

shawnnjuguna
Автор

Kitendo cha kumsaidia Hawa kimetugusa wengi, maana alikuwa na hali mbaya sana, big up Platnumz

King_
Автор

Wow happy to see her back on her feet wow, diamond you did a great thing

verizzonwanjiru
Автор

Eti bila Yeye musingeweza Kusikia Sauti yangu Leo Duh Nmefurai Sana Nasibu

salummpala
Автор

Congratulations to you diamond for supporting Hawa back to life nampenda Sana Hawa ni msanii mzuri

scompanyswahili
Автор

Mola akuxindushie diamond...hawa anapendeza mama hata finger unayo very happy to see once again hawa keep it up

zakiahussein
Автор

Dah Safi Sana. Huyu Dada alikuwa hoi bin taaban.God bless you Hawa, keep it up.

laurentraphael
Автор

Frm Canada diamond hii imeweza big up broo tunasubiri makubwa zaidi ya haya...God bless u big....wapi like za mondi

ramak.
Автор

safi sana.. So impressing.. What a caring Mond.. Sasa mumbebebe kidogo arudi muzikini

athanaswilliam