Diamond Platnumz - Yatapita (Official Lyric Audio)

preview_player
Показать описание
Download Yatapita Song👇👇👇

Diamond Platnumz Booking Info:

Catch Up With Diamond Platnumz On:

#Diamondplatnumz #wasafi #music
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wakwanza hapa leteni likes, , tulitamani sana nyimbo aina hii au vipi, , Diamond mkali sana🦁🦁🦁🦁

Jk_rules_
Автор

Huyu ndio diamond tunaye mjua SS 🌹Amini huu wimbo utaishi miaka mingi Asante Kwa wimbo wa mzuri Simba's🇰🇪

laoiyadi
Автор

Sina mpenzi ila uhu wimbo unanitiya nguvu kipekee, mind bora kwa wakati ngumu ninao pitiya, big up simba 😊, YATAPITA .

christopherkakozi
Автор

this boy is hardworking, kama ulikuwa unangoja hili ngoma liwe no. 1 trending piga like...we kenyans loves u TZ🥰🥰🥰

LarryMaxcomedy
Автор

Diamond Platinumz Shabiki w dhati kutoka Rwanda 🇷🇼. Kwa kweli wewe mwanamziki, mwenye kipaja cha ajabu ambacho kinaishitua mioyo ya wengi. Kuimba kwako si vitu unavyotafutatafuta bali ulizaliwa kwa lengo hilo. Endele kuwa mwanga wa Africa na Dunia nzima. Tunakupenda sana.

alexismazimpaka
Автор

Nilikua Na isubiri Na hamu hii.
Iyani umetuchelewesha kidogo mzee baba
Big up Simba 🦁

arsenesimba
Автор

Wimbo unaoishi daima its true say walah naenjoy najifunza nafarijika pitia wimbo huu Jah bless you Mond🕊

appleflavour
Автор

Yeah yatapita magumu yote tuliyepita mu 2022 atakwisha mu hii 2023 Lord knows, 🙏🙏🙏🙏😭😭😭 amen love this song from 🇧🇮🇧🇮

gusabimanagrettavalentine
Автор

Sawa yatapita, Ila mupitie hapa na likes za Burundi 🇧🇮 in the house

mchopechevalier
Автор

This Simba will remain a king Forever!!! Kwanini Watanzania hamtaki kukubali diamond is another level Kweli Nabii hakubaliki Nyumbani... Kenyans 🇰🇪 let us support this African Kid 🇹🇿🇰🇪♥️🙏

abubakarimsere
Автор

Nyimbo yetu ya ma hustler…Asante Mondi🤜🏼

chicharitoronaldo
Автор

Simba we kenya we appreciate your work YATAPITA

richardtumba
Автор

Diamond Platnumz 🔥🔥🔥, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪, every song is a hit, Mungu akutangulie kwa kila jambo 🙏🙏🙏

franklinmutiku
Автор

Bonge la ngoma.Hakuna shida ya kudumu.Hiyo Hali yako ngumu itapita.Jikaze, jitume,endelea kuomba kila siku bila kufa moyo.Ipo siku.Mungu hajachelewa.

victornyakundi
Автор

Watanzania mmebarkiwa na msanii pengine nyie tu ndio mjajua this man is more 🔥🔥🔥 from kenya kama unamkubali huyu mnyama gonga like.

brianmukopi
Автор

Simba congratulations, , , , to your musics hii ngoma ni kali sana

danielmunyeu
Автор

Diamond Platnumz akiamua kutulia na Kutunga wimbo lazima ukubali. Hii ngoma yake mpya inayoitwa “Yatapita” ni Bonge moja la nyimbo. Diamond katulia, katunga mashahiri hatari, halafu kaimba kwa hisia kweli kweli. Huu wimbo unatukumbusha yule Diamond wa 2010, 2011 huko. 🔥 🦁

abdulazackabdul
Автор

Hapa umekomesha wenye midomo ya negative juu yako, well done diamond, fans wako tunaenjoy, like hapa kwa upendo

mgenimussa
Автор

Nyimbo za hisia Kama hizi tulizisubili Sana toka kwako BABA YETU wa bongofleva....we love you Father of Music
Like Twende Sawa 😭

issasalum
Автор

Hujui kukosea ngoma kali sana hauchoki kuisikiliza unatubuludisha najua unapambana upate kutubuludisha na kwa mafanikio yako asante

rajabukumbusho