Mahaba ya Paula na Marioo Washindwa Kujizuia Mbele ya Kajala

preview_player
Показать описание
Follow us:
_______
________
______
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimeipenda pia tuko wangapi baada ya kusikia Mario alikuwepo kwenye uzinduxi 😂😂❤❤

MsEnergy
Автор

Watu acheni fitness Mario na Paula mnaendana kabisa hadi raha❤❤❤❤

yusrairakoze
Автор

Mpaka nampenda marioo Niko nao hii couple

amanimapenzi
Автор

Ila huyo bodygurd wa kajala ana kazi kushikilia hilo gauni kajala akikimbia nae anakimbia🤣🤣🤣🤣🤣

marthamushi
Автор

wenye wivu na mapenz yenu wajinyoonge jaman daaah marioo na paula nawakubali wooote❤❤❤❤

kznxpyo
Автор

Mung awalind jmn na jicho la husd nice couple ❣️❣️❣️❣️❣️❣️😂😂

GetrudaRichard-pw
Автор

Aliyeshikilia gaun la huyo mma anakazi 😆akikimbia nae anakumbia😁yaan wanakimbizana

naomisamwel
Автор

Mmependezana sana marioo na paula adi raa jaman ongeren am so happey❤❤❤❤

munene-tv.
Автор

Harmonize alishindwa kutunza acha Marioo akamfundishe namna🎉🎉🎉❤

muntueric-oyty
Автор

Munapendeza sana na umuri wenu unaendana😂❤

bipnpmz
Автор

Mario na Paula hapo sawa mnafaama kabisa

shangwefisima
Автор

Jmn ebu atokee msamaria mwema anieleweshe, hio yakajala IPO wazi Hadi tako au vp, mana sielewi😁

assmamohd
Автор

Kweli mnapendezea jamani 💖🎉 amazing 1:48

egpwduu
Автор

❤❤haki ya pendeza God awajalie Paula na omy

nazymwasaha
Автор

Yesu mufalme wabafalme Nakuomba ubaridishe lalala Na mwanae🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

barakabarkey
Автор

I wish I was in the Tanzania so can watch hiyo kipindi 😢

Mina.
Автор

Apo ingekua niwakati wa rayvanny apo angekuja Na ma bodigadi kama 10 alikua Na mbwembwe za hatari Ila apo marioo kaja kawaida sana hadi raha😍😍

yuzarsifutv
Автор

Bila fitna pea yao iko vzuur yaan mashaallah

ZuwenaOmar-xkgq
Автор

Ni kweli kwan walikuwa awaanza kupendana

AnithaDominic
Автор

Huyu mwenye nywele nyeupe vp au ndio walewale kina juma lokole

lulually