Keysha - Nioe ( Official Music Video )

preview_player
Показать описание
NIOE Available On:

GOOGLE PLAY

ITUNES

DEEZER

AMAZON

TIDAL

SPOTIFY

”NIOE was shot by Tanzanian music video director: Msafiri under Kwetu Studios )

Follow KEYSHA On:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

tuwace unafki kiukweri keisha mziki wako sicoki kuwutizama kwanza video kari voici😍😍😍naupenda sana from burundi

iradukundamike
Автор

Nice song dada. Fanya mazoezi kwa afya bora. Uo mwili dada so mzuuri kiafya.

sijaonasimon
Автор

Keysh wat a lovely song very nice one Jamani ukiwa ume upenda huu wimbo basi tumpe Dada yetu LIKES

dominicadominica
Автор

Keisha uko juu sana Tanzania yote huyu dada sijasikia ana hivi wala vile anaishi maisha yake private hongera dadaa

milkamugomomugenimgomo
Автор

MCC wa CCM Safi kabisa kwa uvaaji huo na wimbo huo
Hongera kubwa kwako Ndg Keisha

mashakakadashipeter
Автор

Hii nyimbo ni nzuri baala nimeitafuta sana naisikiliza clauz wanaipiga sana sasa sjajua kuwa ni dada yetu kaimba aisee anajua sana big up

andrewkilave
Автор

Jamani hii nyimbo ime Ni maliza naipenda na isikia Kila saa na sichoki nayo keysha dadangu your song make me to follow in love each and every time niki sikia

dominicadominica
Автор

Tangu enzi zile.... Beautiful voice... Beautiful song.... Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

agnessinja
Автор

Dada lao....Naona wadogo zako wajifunze hayo mavazi kwako.not expired wa Tip top family.

klohmusic
Автор

Mansha allah ngoma kari video ya kizazi hongera keisha

iradukundamike
Автор

Nakupenda sijawah skia skendo juu yako

bintiiddy
Автор

kasim mganga hamuachi mtu salama c utamu huu ulompa dada keysha

ashminaabdullah
Автор

I like how she's comfortable in her own skin, tena wajua kujitunza mama.

HelpedbyGod-oz
Автор

Moyo nakutuma nenda nenda mwambie nampenda ninakaribia kufa aje nipate tiba 👌👌sultana kiboko kabisa😊😊kudamsh km

rahmarahmani
Автор

Jameni Kajisitiri vizuri Nabado Watu Wanapenda sana Mziki wake, Sauti yake Yenye Mvuto, Wimbo Mtamu sana.Nimekupena Nakupenda Mziki wako

ibba
Автор

Tanzania kunawaimbaji wengisana nilikuwanimekusahawu unakwenda kutuliya hadikutowa kitu kizuli jamani dadangu nasikendo kamawengine huko👂

uwimanacitegetse
Автор

Thank you madam Keysha wasopenda wataisoma no.

janembwilo
Автор

nilikumc san my dear nashukuru umerudi love u saaana ngoma kali

mageroanna
Автор

Nampenda huyu dada kamani Ana sauti nzuli kanyimbo kazuli

fadhilaswa
Автор

Daaah nilimisi sana sauti yako uko vzri kaza buti mama

betrecmkwasa