Rayvanny - One Official lyrics

preview_player
Показать описание
Follow Rayvanny On:

For Bookings:
Call: +255719951119
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unamkubali huyu kijana, tafadhali kwa heshima yako nipe likes nifurahi nami❤️❤️🤩🤩

samirabdi
Автор

Dah Karen amenyoosha kinoooma an GUYZ KAMA UNAKUBAALI MBEY CITY BOY RAYV VANNY BOY GONGA LIKE TWENDE SAWA

snusherboytz
Автор

Rayvanny ma boy you are my favorite artist right 👑 🔥🎉👌

coolestkid
Автор

Hapa napo Vanny Boy kajikaza zimeweza....Nipe likes za Beats zimwendee Producer.

ibrahimsamir
Автор

Wagwan bro, reggie yaguza vilivyo nobody can stop reggie

ambiamash
Автор

I love you're songs rayvanny 🇰🇪🇰🇪

marykipusa
Автор

Embu gonga like ukiona hamna kama Vany boe🙌

Clvestar
Автор

Unatish unawez kuimb bit yoyote much respect 4 van boy

chackym
Автор

Thought i was the first here, but I'm 30th.
Okei. Chapa like kama umeikumbali "ONE" 😘😍😍

alisjoe
Автор

Mashabiki wanamihemko na msanii pia unamihemko kaa chin ufanye mziki sasa # sijaona kitu bado#

fundimaloti
Автор

Nipe bila choyo na watoto tuzae🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

reginahmwelu
Автор

Chui we ninoma sana naombe like yenu nimepigania wasafi sana

wasafiwasafi
Автор

Vanny boy, hii inaitwa hamna kuhema, bamba to bamba, jiwe baada ya jiwe

sonymiles
Автор

This guy can rock even in reggae music

djnirakenya
Автор

Naeipenda ngoma kali kama hii toka chama la watz wcb4life weka like yako hapa wataweza kweli

ruhotolarunungwe
Автор

On point Yani bidii ya vanny boy iko level ingine nipew likes za 254

TheLaughterMachine
Автор

Wangapi wanojiuliza kwa nini vanny boy na karen hawajatoa hii ngoma


Mim:😂

aldenyfude
Автор

Sija chelewa jaman sio lazima mnipe like ata mkiacha

samuelwilium
Автор

Duuuuh vany punguza speed utatuuwa aise

nurudinigelevasgodfrey
Автор

Waaaa tujifunike blanket uko sawa rayvanny big up brother

tabikanini