UTACHEKA VITUKO VYA ELIUD NA WEMA WAKIONGEA KIKOREA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

😂😂😂 kwahy hawakai kwa aman kweny nch ya watu nikugomban tu😂

MwanaidiSaid-qtst
Автор

Eliud lugha ngumu hiyo utajikojolea😂😂😂😂

salmamlokela
Автор

Leo nimetaka kucheka nimekuja kuangalia ❤

ROZITHOMAS-yq
Автор

Kweli kipaji akijifichi mi naamini iposiku tutawaona wakiwa kwenye lever nyingine zaidi tuzidi kuwaombea kwani wanajipambania sana kwenye sanaa ya filam

ShkuluMohammed
Автор

Hahahaha oyaaa ujuwe sis wa bongo miyeyusho sana kidogo wema katushawishi ila eliudy kaka yake na farida huyu jamaa anatupiga za uso.

DanielJordan-ukln
Автор

Hapo alikua anaomba mzigo kwa kikorea 😂

iffahbahet
Автор

Sasa Wema hande ni kichina kweli Naona karudia twise 😅😅

BarakaSimon-xymp
Автор

Mtakuja kuita mapepo nyie na lugha za kutunga 😊

Bintimrembo-yv
Автор

😂😂😂😂😂. Ila cjaelewa .. kwa hyo Eliud ni jooh sung ha au Min oh alafu wema sounhah

CECILIAMAGANGA-skmd
Автор

Kwa hatua hii, tunaenda kuona mabadiliko makubwa kwa tasnia yetu ya filamu❤❤❤❤asante mama Samia💪💪💪💪💪mitano tena.

herifilms
Автор

Hilo jina lilivyoitwa tu ..kama pua hana vile 😂😂😂

Sports_and_Entertainment-bv
Автор

Handeeee Yaaani maana yake..."wanaume wote ni mbwa"😂😂)

stevenbeggeoffial
Автор

Aigooo wema agashi Eliudi oppaaa..nomo nomo chuwaeee❤❤

erca
Автор

Hapo mama kapoteza tu pesa zetu hawatorudi na kitu hao

shirimabenedict
Автор

Huyo eliud atakuja kuchanika koo na haja kubwa juu..shaur yake

ramadhaniselungwi
Автор

Watu wameendakolea tumetozwa kwenye umeme naulizao😊

brunomtweve
Автор

Walio irudia hii video zaidi ya mara mbili gonga like hapa

JescaJihila
Автор

Mtakuja ongea matusi muone mtakachofanywa huko

IshipalemyPasko
Автор

Mujue wenyewe hawapendi kuigwa ivo kama mtu hajui yalinikituta hadi leo sijaribu

RahmaRashid-lcnw