Najua wachekeshaji wengine ni muda wakujifunza kwa eliud matumizi ya lugha yenye ninzamu ndio kinacho mpa nafasi sehemu nyingi
SwahiliAmbasador
All the way from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Eliud you're the best
ronaldkimengich
Kipotosh na Eliud tyr wameshapair sasa xnyng nikiwaona mkiwa pa1 jmb huwa linanoga sn hkn hata haja ya muziki yani hata DJ hkn haja ya kumkodi mnapunguza garama kwa kwl kwa wny shuguli yao🤣😂🤣😂😂na hata hamtumii nguvu safi kabisa👏👏👏👏👏👏👏
othmanhamad
Wanaotoa lifti msisimame mnatuchanganya😅😅
TinBrackTz
Jamani kama unaona eliyudi anaweza tujuane kwa laiki
GODFREYCHIZIMA
Yani nimecheka kwenye kingereza jamn😂😂
vennyblack
Hivi Eliud ulifikiri utamkuta Juma lokole wapi kama si kwa wenzie wanawake
venasalbert
Me platform kanifanya niangalie hii video♥️
ivethblackqt
Mbona Chuchu hans yupo karibu na masha love?
johnenos
Eliud uko vizuri sana lakini jitahidi kwenye matamshi zingatia herufi, Anaitwa RAIS sio LAIS
kingswebe
Hiki kiingereza wakenya wasikisikie.😂😂😂😂
shyfettymtunda
kingereza si lugha ya taifa letu na kulingana na mfumo wa nchi yetu ni muhimu kujua lkn pia sio muhimu kwetu kikubwa chapa kaz
Dje-ruwd
Pesa yako inaweza lete kitu chochote karbu yako😂😂😂😂
Globalpixel
Ahsanten kwa show, ila nina swali langu kuhusu Chanel ya E Tv mbona picha yake aipo na ubora kama chenel zingine, yaan picha inaonekana ya mawingu mawingu picha sio ang'avu.