Rapcha - Low (Official Music Video)

preview_player
Показать описание

Music Video Directed & Edited by :
P-Funk Majani for 'A Majani Flick'

Gaffer (Lighting) by :
P-Funk Majani for 'A Majani Flick'

Locations & Props by :
P-Funk Majani for 'A Majani Flick'

Color Grade by : Eneru

Performed by : Rapcha


Lyrics written by : Rapcha (Cosmos Paul Mfoy)

Composed & Produced by :
Yogo Beats (David Juma Maganga)

Wizzo808 (Julius Nichoraus Ndoroma)

LOW LYRICS

‘Low’ lyrics

You that i wanna be,

I wanna be

Tuwe Mommy na Daddy someday

Baby, Mi I’m not gonna be,

Not gonna be flani ataekuweka upset

Anything you want from me

Want from me

Unaweza sema kile that you want from me

Kila ukiwa down you can call on me

‘Coz baby you are my type

Chorus

Ukinikuta niko stress niko Low Low Low

Low Low Low Low Low

Hupendagi kuona mi niko Low Low

Low Low Low Low Low

Ukinikuta niko stress niko Low Low Low

Low Low Low Low Low

Hupendagi kuona mi niko Low Low

Low Low Low Low Low

Verse 2

Honey

Deep inna yuh love

Niko deep deep deep

Baby girl you got me in my feelings

Crazy for your love

Nita’keep keep keep

Coz i know wat u mean to me

Deep inna yuh love

Niko deep deep deep

Baby girl you got me in my feelings

Crazy for you love

Nita’keep keep keep

Coz i know wat you mean to me

Chorus

Ukinikuta niko stress niko Low Low Low

Low Low Low Low Low

Hupendagi kuona mi niko Low Low

Low Low Low Low Low

Ukinikuta niko stress niko Low Low Low

Low Low Low Low Low

Hupendagi kuona mi niko Low Low

Low Low Low Low Low

Hook

You know that i-i-i-i-i-i-i

I wanna take you places that you have never been

You know that i-i-i-i-i-i-i

I wanna take you places that you have never been

Babygirl i-i-i-i-i-i-i

I wanna take you places that you have never been

You know that i-i-i-i-i-i-i-i

Join Our Family:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Naomba mtu alike hii comment ili niwe narud kutizama tenaa🎉🎉🎉

EphrahmGama
Автор

Kam utarud ten siku ya kesho kuiskiliza hii ngoma kam mm gonga like😊

pigeyut
Автор

Hii ngoma ni kali.. utadhani kitu cha west africa iv kumbe ni mwanetu Rapcha

johnsimon
Автор

Kwani hizi like mnapeleka wap haya gongeni like hapa

rashidishahibu
Автор

Naomb ote mlike ap uyu jamaaaa Ana mfano tz nzim like zijae bs km ww n fans w kwel

RAPPERVAM
Автор

Rapcha Low nani anasema hii kali kuliko ngoma ya Diamond Komasava aweke like kwangu hapa chap...

edwardfaraji
Автор

Nimeshikwa na butwaaa kumbe dogo uko hivi Mungu DOGO DOGO DOGO hiz ndio ngoma zangu utafika mbaaaali sana gooood voice

james-lxrf
Автор

P FUNK MPK ANAKUCHUKUA UFANYE NAE KAZI AMEONA KITU MWANA UNA KIPAJI SANA NA UNA BAHATI MUNGU AMEKUPA KUWA NA P FUNK A.K.A THE GODFATHER NAAMINI IPO SIKU ATAGONGA beat mwenyewe kwaajili yako

hamzamsafiri
Автор

Wimbo aulazimishi uhuskilize mara 2 ndo uhupende 🔥🥰

clementineselemani
Автор

Yeah I country wizzy frani hivi...kijana kaamua sasa🎉🎉🎉

stephanopeter
Автор

HII NGOMA TUNA IELEWA WAJANJA KUTOKAKA 🇹🇿🇨🇩🇧🇮🇰🇪🇷🇼🔥🔥🔥🔥

ommybrown
Автор

Umejikaza dogo hizi ndo nyimbo za level Yako usichokoze Tena kaka Ako dizasta vina # nice song

ashuramuhammed
Автор

Versatile artist anajua mpaka anajua tena🖖🖖

EdgarRugaiyamu
Автор

vipi marioo haukumfikilia!!! This is good sound for him #nice✌🏿

InnocentMakoba-ytso
Автор

Jamani nimechelewa lakini like zangu naziona tafadhari 🙏🙏

Oficial_Eredy
Автор

Yan hapa we killed alot like audio🔥🔥 love the song bruv🙌🙌🙌

novahrappertz
Автор

jaman Hawa ndoo wasanii tunaohitaji katika jamii yetu mwana ukopoa sana nakuona kwenye kolabo na barna boy

IsackSelemani-co
Автор

Unajua San unachokifany shabik Yako namba Moja apa💪💪💪

rezeprx
Автор

Nasubiri kolabo ya Rapcha-X-Young Killer..🙏🏼

mathiaspeter
Автор

WANAOKUBALI YA KWAMBA RAPCHA KARUDI VIZURI NAOMBA LIKE ZENU HAPA

ankochoka