Rapcha - Wait (Performance Visual)

preview_player
Показать описание
To The Top Vol.1 (Special Edition)

TRACK #3 WAIT

LYRICS
Hey babe, nimemiss zile pillow talk

Looking in your eyes was really dope

Muda ungeondoka upesi

Uje fasta naku-wait

And babe nimemiss zile night walk

Kuangalia stars was beautiful

Mengi yamekaa kwenye chest
Natamani kukucheki

Hey hey my boo

Siku zinapaa tu

Distance kills and waiting sucks too

Fresh nina move niko fine im grateful

Ups and downs but i got this game

And Dream zina come true, Jah anatubless tu

Hustle long time nipe muda itakua fresh tu

Good things always take time when you wait boo

Nimekupa keys to my heart don’t play fool

Bridge

Kuna muda tume end tu call

Andn my mind get lost natamani kukucheki

Please get back tuwe tu home

Nikimaliza na tour ntakua free kuanzia next week

I need you home babe

I’m all alone babe

Don’t take too long babe

I’m getting lost babe

Chorus

Coz i dont wanna wait

I don’t wanna i don’t wanna wait

I don’t wanna i don’t wanna wait

I dont wanna wait

I dont wanna i dont wanna wait

Verse 2

Kila tukifight unaropoka sitompata mtu kama we.. yes I guess you’re right

Na vile ushatambua kwamba sina maisha bila kuwa na we then we dont have to fight

Hata nkiwa kwenye hasira sjawahi kukutamkia i hate you,
Never act like that

Coz We ndo unafanya mi naboost simu iwake ata 1% nikuambie goodnight,

you are right,

I swear we unafaa zaidi ya pete

Sometimes baby sometimes we ni best friend

Nadeka kwa mama nadekezwa na my girlfriend

Sometimes Staki ata chochote just me and my girlfriend

Unafaa kuwa protected unafaa kuwa respected

The devil is working Niombee nisiwe tempted

I know you’ve been getting texts from these niggas

But they don’t deserve you wanafaa kuwa rejected

Bridge

Kuna muda tume end tu call

En my mind get lost natamani kukucheki

Please get back tuwe tu home

Nikimaliza na tour ntakua free kuanzia next week

I need you home babe

I’m all alone babe

Don’t take too long babe

I’m getting lost babe

Chorus

Coz i dont wanna wait

I don’t wanna i don’t wanna wait

I don’t wanna i don’t wanna wait

I dont wanna wait

I dont wanna i dont wanna wait

Last king of 90’s baby

Join Our Family:

#rapcha #wait #tothetopvol1specialedition
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Leo ume switch hadi nimemkumbuka gwair 👏👏 mdogo wangu unajua

hasheemabby
Автор

We rapcha mi natukanwa uku MTAANI 7bu ya kupiga ngoma zako kwa sauti kubwa aisee ckomi

mwalimungoda
Автор

Unajua mpk unajua tena cjawah kukupinga last of king 99

jiirampound
Автор

KAKA HAPA UMEKUJA KUTUFUNDISHA MZIKI HII NOMA RAPCHA

alitomorrow
Автор

Hapo Video iwe kama barua inapelekwa kwa boo ambaye anampaa mkwe companiy. So dopee Man! Wowh!
Ps. @Hax 🇹🇿

vanliy
Автор

Nilikua nimechili na wana gheto jamaa akawasha Bluetooth uku tunasmoke na kudrnk mchiz akaplay play list yake kajaa huyu mwana kuanzia hapo akaninunua kuwa shabik wa ngwea mpya kwangu

jehsamsteven
Автор

Its big bro... more international... endelea ivyo ivyo usipoe anih usipunguze nguvu ur go'in to far trust me bro

johnkikoti
Автор

HAPA NDO UTAJUA RAPCHA NI WA KITOFAUTI SANA MNYAMWEZI KINYAMA

fixedmatches
Автор

Meiback Music 🎶 nikupeleke ukafanye 2 track

Hance-Kiteve