Dalili za mimba za miezi Saba / Miezi Ya Saba(7).!

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante doctor mm Nina mimba ya miez Saba hila Kila upande ninaolalia mtoto anacheza ii ni tatizo au?

ElizabethFaimu
Автор

Aah doct mm tumbo limeshuka sana nanina mimba inakaribia miez saba yaani sehemu za juu ya tumbo hamna kitu docta kabisa tumbo lipo chini nilitaka kujua nikawaida au nikugeuka kwa mtoto

iiulgvr
Автор

Doctor ninamimba ya miez saba ila nikilalia ubavu wa kushoto naumia na kulalia ubavu wa kulia tusiutegemee sana je nifanyaje pia asante kwa masomo yako najifumza meng

sabrinamlali
Автор

Nakupenda sana Dr mwanyika Mungu akubariki sana

RehemaMohd-nnxr
Автор

Dr samahan naomba unisaidie kujua ujauzito wangu unawiki ngap kwasasa nilifanya vipimo vya ultrasound nikaambiwa ninaujauzito wa miezi 4 na wiki 2 ilikua ni tarehe30/5/2022

sikujuwahemedy
Автор

Dr.Mwanyika nakupenda sn na nina amini kila unachotufundisha, na ninamshukuru Mungu ni wiki ya 28 Sasa ya ujauzito wangu.

fjwumwl
Автор

Uko vizuri Dr Mwanyika tangu mimba inaingia nakufuatilia kila mara

clintonchrizostom
Автор

Samahani .Dr mimi nilikuwa nina wasi kwasababu watu wanasema mtoto hugeuka kuanzia miezi saba ila mimi nina miezi saba na siku 18 lakini bado haja geuka

iyvxsmu
Автор

Doctor plz naomba unijibu, mm naumwa na upande wa kulia yaan kichomi balaa sipati usingz na najskia vibaya, kichefu chefu sana

shamsiahussein
Автор

Doktar mm nirifanyiwa upasuaji nikishika tumbo langu kwenye mshono bado nikijishika ngoz sio kama sehem nyingime inamaumivu et afu najihis kizungu zungu dokta mimba miez saba sasa shida nn naomba kujua please

kmjhulq
Автор

Dr samahani naomba nisaidie mimba yangu imeingia mwez wa 11/2022 mpaka Sasa najua inamiezi Saba lakini nmeenda kwenye kipimo Cha ultrasound wameniambia nitajifungua tarehe 30/7/2023 hapo ndo sijaelewa naomba nielekeze me nlijua najifungua mwezi wa nane kweny tareh 10 hv

Rahmanjoka-wqqc
Автор

Dr. Nikitembea kidogo tu nakuwa na maumivu makari Sana kiasi kwamba nikiwa nimekaa nikinyanyuka nakuwa na maumivu au nikiwa nimelala nikijigeuza nasikia maumivu makari Sana nimejalibu kwenda hospital na kupewa dawa za maumivu lakini sipati afuu yoyote

emachahero
Автор

Doctor mm ujauzito wng unamiez 7 napata kuumwa na tumbo mara kw mara na chini kunanivuta km k2 kinapushi

tuhsyxh
Автор

Habari doctor mimi ninaujauzito inakaribia miezi saba lakini mwili unakosa nguvu damu ipo 10.2 nina pacha niambie tatizo nini 5:08

bnfsupn
Автор

Mimi mimba ya kwanza nilifanyiwa operation, orizontal ya juu, na muda ule sikuuliziya sababu za kupasuliwa, lakini shoga angu alifanyiwa vertical, na mimba ya pili kazaa kawaida, na Mimi naogopa sababu nikionesha TU tumbo langu madactari wanashangaa na kusema izi operation ni za matata sana, Sasa sijui ii ya pili nitazaa kawaida?

monicasiardes
Автор

Dokta Mimi mke wangu kuna wakati ana sikia maumivu chini kama mchango anamimba yamiezi Saba inaenda miezi nane Ila itokea malamoja moja halafu inapotea

masalikiguse
Автор

Dk, mm naona mtoto ha chezi kama mwanzo, Leo cku ya pili umri miezi sita na wiki mbili.

castlemgimba
Автор

Doctors pole na kazi... Doctor mm nasumbiliwa na kucheua usiku nikiwa usingizini je ni kawaida??? Nina miezi 7

captollinasalehesalehe
Автор

Dalili zote nimezipata lakini hiyo ya maziwa ya njano Bado sijaona dr

lilianfrank
Автор

Doctor naomb kuuliz nina mimb ya miez sab ila napat san maumiv chin ya maziw upande wa kushot je ni hatar

hadijahamis
visit shbcf.ru