“Wolper ni uaridi ukikaa nae utanukia” Engine alipoenda na Wolper Clouds

preview_player
Показать описание
Muigizaji Jacqueline Wolper leo amemsindikiza Engine ambaye inasemekana kuwa ni mpenzi wake katika kipindi cha XXL ya Clouds FM ambapo tumezungumza na Engine ambaye amesema kuwa Wolper ni uaridi kwa hiyo lazima atanukia..
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

i love this guy the way he answers his questions

philldominic
Автор

big up sana nimependa unavyojibu maswali ..wee c wamchezomchezo

shubaibe
Автор

Nimefurahiya sana majibu ya huyoo jamaa yuko owa hakurupuki kujibu powa sana shemeji watu kwa wolper

divineniyonzima
Автор

Mungu awajaalie inshaAllah.Naona mambo mazuri.Apa sasa nimekubali nawaombea sanaaa.

susandoctora
Автор

Wolper hajawai kutuchezea akili akionesha mpenzi wake ni mpenzi wake kweli hamna cha kiki hapo wanajipendania kwani cha ajabu kipi? mbona wapo vizuri wanaendana kabisa

asiahmariam
Автор

asante milard Ayo kwa habar nzuri nzuri

mimahsaid
Автор

Hiyo bado movie tu bado aijafika mwisho mambo ni motoooo💣💣💣💣💣💣💣💣

princeuzieri
Автор

Naona sanam la posta limeambatana na bongofreva

mgayamgaya
Автор

mwanaume kajiamini safi sana, walper hapo tulia dada!

nyasonyilugoe
Автор

Nime penda sana majibu yake ongera sana Wolper kweli ume pata mwana ume.

chantalmulasi
Автор

Kweli uko poa nice umetulia sana duniani kunawambea sana

dadeeamiry
Автор

Hapo sawa broo usiwape waja faida sana juu ya Mambo ya mke na mume kuna Hasad kibao

hassanabdallah
Автор

kaka napenda unavyojieleza bila maringo

timelessbeauty
Автор

kaka wajiamini kikweli💪💪💪unajielewa kabisa wajibu sambamba

maureenmuhonja
Автор

This guy hua amejipanga vipoa kwa kujibu maswali

kake_alicios
Автор

Yes.napenda majibu yako, ni lzm kulinda sana kile unachoamini kuliko kumwaga mambo yote hadharani.Mambo ya wawili ni ya wawili tu na mushindwane wawili pia

josephmwakabungu
Автор

Nisha mpenda uyu jama anajiamini kiukweli

kizaabwe
Автор

Huyo mwanaume ako sawa kwa kujibu nime mpenda sana sio kma wanaume wengine kujibu ovyo mmmh basi huyo wolper apunguze kubadilisha wanaume kma chupi yani saa zingine twaenza amini yale ya kunuka kuma

janejames
Автор

Uyu mshkaji nae apunguze kuongea sana, ,aoneshe kazi nzuri, ,,

vibetz
Автор

Huyu kapendewa mashine maana anajikuta eti kaimba kwaya🤣🤣 kaimba madrasa 😲😲😲😲😲 huyu network searching

BigZhumbe