Alichoandika Jacquline Wolper baada ya Naibu Waziri kuita wasanii

preview_player
Показать описание
Baada ya msanii Pretty Kind kufungiwa miezi sita na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza, muigizaji Jacquline Wolper kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika caption amabayo imeleta utata na baadae kuifuta.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

jack chezea kila kitu lakin usichezee uislam nakuusia ndugu yangu nimeandika comment hii kwa unyonge sna ila mungu hata kujibu kwa unyonge kma mm Allah ni jabbar kua makini

uhktymohamed
Автор

kubadilisha wanaume pia wapewe onyo kama wolper

gilbertmtoshu
Автор

Safi sana sis big up mavazi muhimu bana

samanthaali
Автор

Ninachoona abadilike nayeye nimmojawapo mkaauchi badilika mama lamama

kolthoomkolthoom
Автор

Wolper kweli mavazi ya heshima Mpango mzima

saidsaid
Автор

Afu mctuaibishie ayo mavazi kenge nyinyi

mikmak
Автор

Hiyo ndio ustaarabu wa nchii fundishweni adabu wasichana wa bongo mwaharibu nchii yetu

asilaalhabsi
Автор

upuuzi...kichwa na habari yenyewe wala haviendani.

denismwaipopo
Автор

wolper usijaribu kuchapisha upuuzi wako kwa kuhusisha uislam

rashidsuleiman
Автор

Wasanii walipotea kitambo..hawajielewi...kwani kukaa nusu utupu ndo utapendwa

nickymeel
Автор

ndio maana leo kesho yule akili zako sio nzr

seifmohamedseif
Автор

Tanzania amuna wasanii wakike kwani awajierew wanafanya vtu kwa kutafta kiki badala ya kufanya kazi kama kaz

eppynecmasatu
Автор

asa uko tunainglian kwenye din plz fata ulicho ambiwa lakin si kuinglia uislam unalaana wewe dada

nadyajuma
Автор

kwani kuvaa mavazi kieshima
utapungukiwa na nini?
wigo mwengine unatuishia pa bayaaa....

fallymetoo
Автор

Bado haujakua wolper. Umri wako ukifika utaacha mwenyewe

ssaa
Автор

Na mtakoma mulivyozoea kujianika makalio na mapaja yenu.... 😂

haibahassan
Автор

huyo nae badilisha wanaume afanye yake

nazmaabdul
Автор

huyo fahyhma wa Rayvanny mwaka huu NAE atabadali muonekano

bantuempress
Автор

Huna la kusema wolper..Si wewe ni hyuo engine. BORA BROWN BASI...

ajmalvn
Автор

Alafu uyo wolper c ndo ananuka k nasikia au c huyu

mkwechemedy