Dj Seven Worldwide, Harmonize & Country Wizzy - Litakufa Jitu (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Dj Seven Who Is Harmonize Official Dj Dropped The New Song Litakufa Jitu Ft Harmonize & Country Boy. Now Is Available In All Digital Platforms.
This Song Has Been Produced By Bonga From Tanzania

Catch With Dj Seven Worldwide On

#Harmonize #CountryBoy #LitakufaJitu

ryrics
intro
hello world
its Dj Seven Worldwide
Country boy
the father
Bong

Verse 1
eyo whats up khaligraphy huku ni mziki
watoto wanaitaka crown huku ni mtiti
si unaona wahuni tupo live maisha na muziki
ukiona tuna koh koh si ngwe ngwe ni kijiti au vipi
tulianza kama utani seven wengi walikua hawataki
litakufa jitu baba waende wakanishtaki
siskii siwaoni sura zao wameziweka wapi
we kunja dada zako nawala kama mshikaki
hili goma la masela sema yoyoo
na watoto wakali sma yoyoo
watoto kama wa masha sema yoyoo ile woyoooooe
wyoyoyoooo

chrous
litakufa jitu
litakufa jitu
litakufa jitu
litakufa jitu

verse 2
harmonize
likifa tunalizika hatulazagi dam
leo patachimbika mitungo zam zam
bonga pass me a wid i wanna get highier
waliotuona kawaida wanaona haya
becouse i got money power
in my bank account
nyingine nazigawa i dont know amount
michezo ninayocheza huwezi kacheze ukutu eee eheh kacheze ukuti
nikiona pagum nina chupa ya parachuti kondeboooy

hili goma la masela sema yoyoo
na watoto wakali sma yoyoo
watoto kama wa masha sema yoyoo ile woyoooooe
wyoyoyoooo

chrous
litakufa jitu
litakufa jitu
litakufa jitu
litakufa jitu

verse 3

country wizzy
we bado upo plan a
mimi nipo b mpaka z
kubongabonga sana hizo mambo mi sifagilii
kumbe unatoka ili umgonge nanilii
mi naiwaza mtv na bet
si unaona mchizi ninavyowakawaka
nawalaza chini nyakanyaka
you how we this mother f***k

hili goma la masela sema yoyoo
na watoto wakali sma yoyoo
watoto kama wa masha sema yoyoo ile woyoooooe
wyoyoyoooo

chrous
litakufa jitu
litakufa jitu
litakufa jitu
litakufa jitu

outro
we got money
we got power
we got world
we got everything
eyoo seven let them die hommy
tatu nne thompson you orleady know what it is aaahaaa
catch looftop ent baby
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

jaman sijawai pata ata like 1 leo naombeni kumi 2uuu kama una kubali tim ya litakufa atarii san

buunakoblood
Автор

nyimbo nikajua ya wamarekani kumbe bongo wapi like

boazmtilege
Автор

Kwamtu yoyote siye mjinga anae fata ushabiki mandaz kama nishabikii kama mm ninae penda mzik mzuli achata tu niseme hii ngoma sijaelewa wala hamna kitu kwanza kode kafichuwa ajasikika kitikio kibovu misitali iliyo tumika mibovu kiufup hii ngoma imefifia unaelewa nn nimrzungumxia like inakuhusu

joshuajoshua
Автор

Nyimbo ya kisenge , biti iko vzr ila wanao imba siwaelewi

hamiskengwa
Автор

Hili chama kina MTU wamoto aseeee KONDEGANG ni

manfredlilanga
Автор

Team ya konde boy litakufa jitu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️♥️♥️♥️♥️♥️

Bantushine_film
Автор

Gonde boy is unstoppable aww....nipe likes za kondeboy

sunnymoh
Автор

Jeuri hiyo ya kufa hamuna naona mutakufa wenywe

imranmohammed
Автор

Kwenye michano ya Harmonize...ukisikiliza sauti yake kama DIAMOND...kama una sikio kama la kwangu like hapa

Prophet_John_Rowland
Автор

Nkukubali sana askari wanguu country boe %%&%%

luthgaston
Автор

Kwel ltakufa michezo nayocheza ni sumu kachezee ukutiii Noma

ferouzmasoud
Автор

Kawaida sanaaaa, kwenye ukweli tunasema

amirihassan
Автор

Nyimbo za siku hizi zimekuw za kikuma kuma tyu

moshikihanza
Автор

hapana bhana jaman konde umeuaaaa nimesikiliza zaid ya mara 20 nakufananisha na lil wayne

jumamlimbende
Автор

Mmetishaa vibayaa ngoma ya kiumeni xalut

akidakombo
Автор

Nani kackia michano mikali kama ya ngwea aisee harmonize kiboko yao kondegang itabidi waizoee tu wanajua hawa watu na mwaka huu litakufa jitu.

ibrahimumasoud
Автор

Konde jitahid saut zisifanane na mond maana nilijua simbaaaa

kulwambegu
Автор

Hili bonge la ngoma na litakywa la mwaka gonga like zangu 💪💪💪💪🔊🔊🔊

maxlattinokiki
Автор

likufe bx ilo jitu like hapa bc kwanza

donaldkulwa
Автор

Aibu yao kumbe Konde Boy anajuwa Mpk Kuchanaa....

sameeradam
visit shbcf.ru