Dj Seven Worldwide x P Mawenge, Ibraah & Marissa - Peace & Love (Official Lyric Video) #13

preview_player
Показать описание
Song 13 - Dj Seven Worldwide x P Mawenge, Ibraah & Marissa - Peace & Love (Official Lyric Video)

Dj Seven Worldwide presents his brand new album titled “Let Love Lead”. An Afrobeat x Bongo Flava album filled with sing-along songs.

Tracklist:

1. Dj Seven Worldwide x Harmonize - Say Yes
2. Dj Seven Worldwide x Singah & Bruce Melody - Lost In Love
3. Dj Seven Worldwide x Jaywillz & Jovial - Trust
4. Dj Seven Worldwide x Skales - Left
5. Dj Seven Worldwide x Spice Diana, Phina & Maud Elka - Butterfly
6. Dj Seven Worldwide x Soti - Medofo
7. Dj Seven Worldwide x Yung Ace - Only You
8. Dj Seven Worldwide x Yung Ace & Eljay - Erima
9. Dj Seven Worldwide x Ibraah - Napenda
10. Dj Seven Worldwide x Dayoo - Haoni
11. Dj Seven Worldwide x Lody Music - Sababu
12. Dj Seven Worldwide x Jaywillz, Mr Blue & Country Wizzy - Trust Remix
13. Dj Seven Worldwide x P Mawenge, Ibraah & Marissa - Peace & Love
14. Dj Seven Worldwide x Leon Lee - Amba Nawe

Executive Producers: Dj Seven Worldwide & Mavin Murithi/ Black Ozen Entertainment Limited.

Digital Branding & Marketing by: Black Ozen Entertainment Limited

Peace & Love Lyrics

Asante Mungu kwa kila siku unayotuingezea
Ni wazi kabisa kwamba unatupendelea
Kama makosa mbona daily tunakukosea
Upendo wako kwetu ni mkubwa nashindwa kuelezea

Viumbe wako wanaishi kwa visasi
Kuonyeshana love and peace hawataki
Dunia ingetawaliwa na mioyo safi pengine kusengekuwa na polisi na risasi

Yaani kitu sio kitu tunachangiana
Ndugu mmoja kwa mwenzio mapenzi hana
Kwenye kutafuta riziki kuna mengi sana

Wapo wanaopenda utoboe
Wapo ambao hawapendi bwana

I wish tungeishi kwa peace and love
Everyone would have a decent life
Mitaani kwote kuzagae kiss and hugs
Tungeiweka hii dunia into different vibes

So lets depend on prayers
God will lead us on the way out
And if we do good stuff when we get there
Only good stuff he gonna pay us

Tunavoishi wala so dunia inavyotaka
Ila tumependa wenyewe
Na ni rahisi we kubadilika kuanzia sasa
Change good kuishi peace and love

Yeah peace and love


#DjSevenWorldwide #ibraah #pmawenge #marissa #LetLoveLeadAlbum
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mawenge umeuwa kaka Kila beat unatambaa👊👊📌🚬💪

abdyissaabdi
Автор

Ngoma kali sana ibrah konde gang Yani mwanangu

mttwamama
Автор

Peace & Love 🔥🔥🔥🔥 mawenge🔥🔥🔥 #Hiphop_StandUp

daudijmayanga
Автор

Kichupa kikariiii Konde gang for everybody

narsisbinamungu
Автор

B boy on the beat🔥🔥🔥🔥🔥Ibrah ni wamoto sana.big up sana kwa kazi nzuri SEVEN

SamirBSam
Автор

Guys let's love and love lead our life ❤

ReubenMdashi-vsmh
Автор

You what ahahha is dj seven man worldwide 👌

yakoboesenga
Автор

Ibraah shikamoo kaka Melissa Asante mama p mange Sina shaka na panch line zako mzee wangu

baruthmussamuslim
Автор

Nopeeni like za mwanangu p the mc kama una mkubali

izzo_boy
Автор

Namba mbil kwangu hii basda ya remix ya j w bluu na wengine Ina data hii I like it

Ndenza
Автор

This song is from next level, wameuwa 🔥🔥

shujaaahamadi
Автор

*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

arabgandaempire
visit shbcf.ru