RAIS SAMIA - 'VIJANA VIPI? MARA SUPU YA PWEZA, MARA VUMBI LA CONGO' / WATU HOI KWA VICHEKO

preview_player
Показать описание
RAIS SAMIA - "VIJANA VIPI? MARA SUPU YA PWEZA, MARA VUMBI LA CONGO" / WATU HOI KWA VICHEKO

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Lazima lishe duni maana maisha magumu sana, , , ajira hakuna, , , kichwa vinauma sana watu waishi vipi..

gloriachristian
Автор

Tukianza kula vizur tu mtaleta tozo kwenye chakula😁😁😁😁😁😁😁

mbakijonas
Автор

Wew mama mungu anakuona maskin tulia maisha magum lkn bado tuu unatuumiza mara tozo mara nn misafar kibao magufuli tutakukumbuka daima

saudahassan
Автор

Mama kiukweli moja kwa moja uchumi wa m1 m1 hakuna kwa wananch ndo lishe hakuna ..wazo wng lkin wakiwa na uchumi wa m1 m1 tatizo la supu ya pweza au udongo wa kongo itakuw hakuna ..asante rais wetu kuliona ilo! Mungu akubarik xn

emmanuelchaula
Автор

Wananchi tunaongelea maisha magumu lkn mbona kwenye pombe wanazinywa kwa sana na hela kibao zinapotelea huko ama pia zinaa iliolaaniwa wanaiendea kwa wingi kumbe ugumu tunausababisha wenyewe wetu, basi tumwambie mungu ee maisha magumu, wanawake uchi uchi mitaani balaaa tupu vijana wahuni hatari maadili kupotea miaka kisha tunasema maisha magumu kazi kuipakazia ubaya serikali kumbe wananchi wenyewe maadili hakuna uchafu mtupu israfu ya kufanya machafu na unywaji mbaya wa pombe

caswaralbadry
Автор

Pesa hamna kazi hamna mikopo wanapewa mabosi masikini hawapewi na wakipewa wanapewa laki tano

kingibandajembe
Автор

Mda wa mambo muhim anadeal na vumbi la kongo

adamsibora
Автор

Mama tatizo sio nguvu tatizo wanatumia sana maji ya moto kwahiyo ili afike kileleni lazima upambane sana kusugua mpaka joto liwe sana na afike kileleni so washauri wasitjmie maji moto kwa sana coz inatupa wakat mgumu coz ngozi inalomaaa

mubashdagun
Автор

Mimi nashauri turudi kwenye misingi ya vyakula asili hili tatizo tutaondokana nalo kwa vijana ila Mh. rais nakuomba uangalie namna ya kuweka misingi bora na nafuu ya upatikanaji wa vyakula hivyo maisha yamepanda gharama kwa sasa.

D.P.O
Автор

Lishe bola inatokana na maisha bola sasa lishe ina patikana je ikiwa hela hamna na vitu bei juu

nellyy
Автор

Huyu Mama asiwadanganye akuna kitu Kikwete ndio anamuelekeza mafisadi tangu asubui wanachukua mzigo...shida zimerudi kwa tena

fidelslick
Автор

wanangu wa mihogo na chai asubhi alafu ujui jioni una kula nn apa kweli uta waza mapenzi kweli kwa maisha magumu

dominikishilali
Автор

Leo nimejikuta nacheka sana nkasahau umeme haupo mchere kilo 300 lishe inatoka wapi taifa la kilimo kama tanzania vyakula bei juu kama somalia?
Mama shida ni bei juu ya nafaka
Kipind baba yupo chakula tulimwaga mchere uliuzwa 900 kilo
Now bei hiyo hata chenga za vitumbua hupati

effarymponzi
Автор

Ili tiendelee twagitaji vitu vinne kwanza watu pili Ardhi tatu siasa safi nne uongozi Bora.

fathimamct
Автор

Kiukweli kuna tatizo kubwa mno, hasa kwenye miji mikubwa, dawa na vitu va kuongeza nguvu za kiume vina soko kubwa sana

jamesmfikwa
Автор

Wananchi wako unawapa nn wawe na lishe Bora akuna magumu wanayoyapitia raia Kama wakat wako awata sahau maliza uende

akidakombo
Автор

Tatizo ni vyakula hakuna jengine vijana wanakula chips sana imekua ni fashion ya kula.

khamisjuma
Автор

Mpaka uyu mama amalize madaraka tutaona nakusikia mengiiii

neemagilbert
Автор

Hamna kitu rais wa mchongo nini sasa hii mnaacha kujadili fulusa za vijana mnaja dili supu ya pweza tutafika mbingun tumechka sana

jitulakaleboymastr
Автор

mimi nahis si lishe tuu muheshimiwa kufikiri sana inachangia kwa7b msukumo wa damu wakat wa tendo unakua si katika kiwango kinachotakiwa, mtu anafanya tendo na huku mawazo tele kichwani, huu mtihan umeikumba dunia na si Tanzania tu

issaal-busaidi