HATIMAYE MKAGUZI MKUU (CAG) AVUNJA UKIMYA, MSIKILIZE

preview_player
Показать описание
#CAG #ZittoKabwe #BungelaTanzania #Ndungai #Tanzania

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: "Patashika bomoabomoa ya stendi ya Mwenge"
-~-~~-~~~-~~-~-
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

JAZAKALLAH KHAYRA, CAG ALLAH akuongoze, uko makini sana.

basharahamtzhalisi
Автор

Hekima Ni kitu cha bure, hongera Mh. Raisi kwa kua Na Viongozi makini kama huyu CAG, Mungu awalinde Viongozi wetu wote, Aamen.

binurusm
Автор

Short and clear..
Kwa busara ya hali ya juu sana..

kamboarheritage
Автор

Kwa jinsi alivyoongea CAG, simple and clear, nadhani kule ndani ya kikao, Ndugai atakuwa anajichekesha chekesha tu. Hatakuwa na la maana la kuongea, zaidi ya kufurahi kwmb azma yake ya kumuita CAG itakuwa imetimia...!!!

isackjohn
Автор

CAG ninakupa big up. Very gentleman. Well done. Nimefurahishwa na ulivosema lugha ya udhaifu hakuimanisha kulidharau Bunge bali ni lugha yakawaida katika taaluma yakihasibu pale unapotoa taarifa za kiukaguzi. Watanzania mjifunze kutodandia boda boda kwa mbele mtaumia. Ninamshangaa mtu kama Zitto ameongea saana utadhania anajuwa kila kitu. Ona sasa mkuu anakiri kwamba ofisi yake nilazima ifanye Nazi na Bunge. Hivo mahusiano mazuri yabahitajika. Majibu ni mepesi watu povuuuu. Utadhania wanakifafa.

juliusjohn
Автор

asante sana cag kwa upeo mkubwa ulionao achana na hawa makanjanja wanaotaka kukuchonganisha na spika

pantaleokulaya
Автор

Huyu bwana ana BUSARA kubwa sana, Mungu azidi kumuongoza katika kazi yake, inshaaalah tutafika.
Kumbe ndiyo maana Ka Spika kamekurupuka kihuni huni tu leo kuongea na wapiga picha na hamna cha maana alichoongea zaidi ya
HESHIMA KWAKO CAG.

mtungilandegeya
Автор

wekweli unastahili kuwakuongozi munguakubaliki hunamdawakuendeleza malumbani unajitambua pongezisna

madadiyamti
Автор

msomi anabidi ajiamini naam asante sana

hamidukae
Автор

AMEAMUA KUSIMAMA KATIKATI YA UPINZANI NA NDUGAI...

bishopmosesmagadula
Автор

Mimi nawaza na akili hizi zote za C.A.G watamuuliza swali gani lisilo la kitoto kwake !! Watu wenyewe wengi wao vilaza

finiasfidelis
Автор

mpaka dakika hii gag3 spika0 na dk 90 ndo zimemalizika.

josephdogani
Автор

mungu yupamoja nawe maana umesimama upande wahaki

muhidinmsabaha
Автор

Naombeni huu mtafaruku wa CAG na SPIKA uishe jaman

massaymarco
Автор

napia usiogope vitisho vya miungu watu mamlaka walionayo niyamda tu mungu ndio kila kitu

muhidinmsabaha
Автор

Nimejaribu kumsikiliza CAG anaongea kwa sauti ya kutoridhishwa na kinachotokea

matikohashimu
Автор

Msomi ni msomi tu, muda wenyewe ana manage kwa kutambua umuhimu.Duu nimeipenda hiyo, dk 2 ni 2

linnamlay
Автор

inshallah Mungu yupo pamoja nawe, inch aiendi kitemi ila busara ndio inayo takiwa, Tanzania c nchi ya mtu fulani et ndie mwenye mamlaka, , anafanya navyo taka lalala, bali tuzingatie sheria zilizo wekwa na viongizi wetu bila kuangalia rangi, kabila, dini ya mtu, , ,

mbwanamudi
Автор

Kazi kwenu mmemwajir msomi mnataka afanye kazi km c msomi

saidimtenda
Автор

Huyu kweli ni kiongozi.Ni mtumishi wa umma.

mohamedmillanzi