MWANZO MWISHO CAMERA ZILIVYOMNASA CAG AKITINGA KUHOJIWA BUNGENI

preview_player
Показать описание
January 21, 2019 Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad amefika mbele ya kamati ya Maadili, haki na madaraka ya Bunge baada ya Spika Job Ndugai kuagiza afike na kuhojiwa kuhusu tuhuna za kauli aliyoitoa kwamba Bunge ni dhaifu.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu yupo pamoja nawe CAG Mr Mussa Asad

johnsonzuma
Автор

Kwa nini msionyeshe na alivyokua akihojiwa mwanzo mwisho.hii ni kutumalizia mb tu

georgemassebu
Автор

CAG. GANI UNABORONGA KIASI HIKI? MSOMI GANI UNADHARAU NCHI YAKO BBNGU?UMEKOSEA SANA.

tereseamasawe
Автор

Suit aliyovaa na begi alilobeba haviendani kabisa hilo begi sio la ki office bali ni la waandishi wa habari na wanafunzi (MTAZAMO WANGU LAKINI)

elinahdaudi
visit shbcf.ru