Muu Flow Ft G nako - Dada (Offical Music Video)

preview_player
Показать описание
Official video for “Dada” by Muu Flow featuring G-Nako.

Written and composed by Muu Flow and G-Nako
Produced by Kapipobeats
Directed by Guru

Muu Flow is youg and self-motivated hip hop artist from Tanzania-East Africa.

Follow Muu Flow:

Listen to Muu Flow
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dada ako ndio ... MWACHE DADA AKO ALE RAHA, MWACHA AJIMWAGE KWA KACHAA 💯💯💣💣🔥🔥🔥🔥. Umetisha sana dogo; kichupa ni cha moto sana mpaka nimeungua

stanleykaminda
Автор

Ebwana nakubali mwamba hili in bonge la ngoma umefanya kitu kikubwa sana tutatisha sana

zuberykhatibu
Автор

DADA to the world! 😍😍😍
Dogo umerudi vzr sana💯💯
GNAKO HAUJAMUANGUSHA KIJANA BIG ALL💟💟💟

betrinajohn
Автор

kipaji kingine Tz, baada ya miaka 2 hautokuwa muu flow uyu tunaekuona leo. Bonge moja la wimbo and video

dioclesdeogratias
Автор

My lovely young brother 🎉❤ it’s so favorite 🎉 be blessed kweli dada yako naitaji true love 😂

sadasaleh
Автор

Umefeli dada..haya majina ya flow mwisho hua hayana nyota...badilisha ilo jina mapema..hata kama utajiita Muu clinto, Muu flaqo, Muu plak, Muu spark

gugahmediaafrica
Автор

Proud of you. Continue working hard always🇹🇿

deontinrugaimukamu
Автор

Vipaji kama hivi ndio vinahitajika🔥🔥🔥
Dogo umeonyesha kipaji thabiti
Waaaoh wat a song💙💙💙💙

fatmamsangi
Автор

Dada angu humpata hata umuwekee ribwata. Oya sio poa

mussashekivuli
Автор

This song is dope!!!!
I cant wait to listen it, again and again
Let support our young talented artist frm Motherland
👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋💯💯💯💯💯

fadhilimohamed
Автор

Matoz kupiga Kaz hamtak Matoz kwenda na maji kilio cha samaki 🔥

ramilegendestedi
Автор

Video kali
Mziki Mzuri
Sound kali Mjin lazima twende mdgo wang 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

omaryiddy
Автор

flow hiii ngoma ni bonge la ngoma asee

godvannyziaophangh
Автор

UNYAMA NI MWINGI muu flow mdogo wetu wa kitaa tanga moja by chamandu 🔥🔥🔥

aboubakarichamandu
Автор

Nyimbo kaliii sana 🥰🥰nimeipenda kweliii

asiaally
Автор

Kila wakati ngoma nairudia rudia... Yaani siuchoki🎶🎶🎶🎵🎵🎹🎹

bonifacealoyce
Автор

Mdogo wangu umetisha sana umekuwa sasa

peterobogo
Автор

The song is soo dope😍😍😍😍 you killed it muu🔥🔥🔥🔥 I just can’t get enough of it

faithmsechu