Nilikutana Na Mtanzania Kwenye Tamasha La COACHELLA Marekani | Africans Living In America 🇺🇸

preview_player
Показать описание
Nilihudhuria tamasha la Coachella ambapo nilikutana na Mtanzania mwenzangu anayeitwa- Lo O'Neal. Lo anaishi New York, USA. Coachella 2023 ni tamasha la muziki ambalo lilifanyika wikendi mbili katikati ya Aprili 2023 katika kalbu ya Empire Polo huko Indio, California. Wasanii mbalimbali walikuja kutumbuiza akiwemo Burna Boy, Blackpink, Bad Bunny, Rosalia, Becky G, Calvin Harris, nk. Tazama hii video ili ujue yale tuliyozungumza na Lo O'Neal.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!

My previous video;

🔸FOLLOW ME ON;

#coachella2023 #jackwausa #africandiaspora
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Woow Jack, , nimefurahia saana kuona video hiyo, , nimependa advice yake huyo Dada amesema "COME MAKE MONEY AND GO BACK HOME", hapo saawa kabisa, Nairobi 🇰🇪

jackrushtaa-rioy
Автор

Damn this is beautiful Jack, she is such a nice gal, left Tanzania when she was 5yrs. and still she can speak swahili, asante sana ndugu zangu

cbedodomacampus
Автор

Tanzanian let's travel and grow the country.dont be scared homes like home like outside.big up Jack n this my sister.and all tz travelers in the world mwamba huyu hapa Jackson mtu mbaya aupingwi kaka .una baya home boy endelea kufanya tupo pamoja na ww kaka

thomasronniemashele
Автор

MOMENT BORA KABISA HII UKIWA NCHI ZA UGHAIBUNI🤩🤩

UpepoVlogs
Автор

Home sweet home, Hakuna kitu Kama nyumbani… as she said go get the capitals D go home to invest period.❤❤❤ that’s love from 🇹🇿

kiddyadams
Автор

Kahama Stand Uppp, Sukuma to the world

dictarchelsea
Автор

Dah safi inapendeza, ukiwa nje ukimeet na wabongo wenzako ni furaha sana 🙌🔥

adamhashimu
Автор

Ye!
Piga pesa, rudi nyumbani kumenoga🇹🇿🏃🏃

mswakisaid
Автор

Aiseee Rudi nyumbani kumenoga mdogo wangu wa Chuga njoo wekeza kwenye sekta ya Utalii Arusha Jack unafanya jambo jema sana kuexpose ya Yuesi

marychuwa
Автор

Tears were almost flowing down my eyes when i saw this.. it’s so emotional👏👏👏👏..

nathanmwamuye
Автор

Am a kenyan back here and am just can imagine the feeling had when he met someone from back home the girl tried well with the swahili which is so good to see her atleast she never forget home much love from kenya you two Jack tunaona kipindi yako na kuipenda sana. You're trying bruh keep up.👍👍

rosemarymungai
Автор

Hakika bhana Jack nakubali mamen we n mkali nkupe gwara sana iyo pisi enyewe n full blood ya chuga appreciate san unawakilisha man n usipime. Ilo vibe unalo fanya ni babu kubwa san Jah bless

Josh-fnjb
Автор

Jäck uyo mdada anavy sema tz ni nzuri kuliko USA simpingi na wew jack Ingawa upo USA unaiwakilisha vizuri tz every day the best bro good job👏👏👏

BernardYohana-ckjj
Автор

Thanks 😊 for love back your home country ... I Goodchance from Arusha...
Big up Jack with such Lady

goodchanceurio
Автор

Salute y'all out there you manatuwakilisha na Tanzanite Yeaaah

emmanuelmsemo
Автор

Mi namshauri asirud Tanzania 🇹🇿 kuna tozo na mambo yasiyoeleweka kabisa..akomae huko huko New York city, Jack 😊

kevinsarah
Автор

Wow, Mimi kama mtanzania mwenzenu, I loved this video ❤️🔥🔥. Very sensational. Amazing jack, amazing...

redmarkcreations
Автор

Am happy for thus video man keep going bro 🎉 🇰🇪🇺🇸🇰🇪🇺🇸

noorbashir
Автор

From Kahama to the us. Umetisha ngosha

kingkendrickk
Автор

Upo vizuri sana brother nimefurahi na nimejifunza kitu Shukran sana

amirikopwe