Dr Ipyana Feat. Goodluck - Moyo Wangu(official video)

preview_player
Показать описание
#MoyoWangu #DrIpyana #Kukusifu
Song : Moyo Wangu
Album : Ibada twenty 18(Live) recorded in Dar es Salaam, Tanzania
Minister : Dr.Ipyana
Featured minister: Goodluck Msuya
Label : Ibada Music
Mixed and Mastered at JobAudios Pretoria South Africa

Buy it on itunes

Lyrics
Chorus:
My heart can not truly praise you,
But here are my praises,
Receive them oh Lord,

Verse:
Even a thousand tongues,
Can never be enough,
To truly praise you,
For what you have done ..

Bridge:
He has done 3x
Once again,He has done..
Hallelujah 3x
Amen, Hallelujah..

SWAHILI LYRICS
Name:MOYO WANGU
Author: Dr.IPYANA
Editor: THE GREAT KIKITOH
FOREWORD:

Chorus:
Moyo wangu hauwezi,
Kukusifu kweli,
Ila sifa zangu hizi,
Bwana zikubali..

Verse:
Hata ndimi elfu,
Hazitoshi kamwe,
Kukusifu kweli,
Kwa matendo yako..

Bridge:
Ametenda 3x
Tena ametenda..
Amefanya 3x
Tena amefanya..
Halleluyah 3x
Amen, Halleluyah..
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

After battling a series of miscarriages, God gave me another chance my daughter is 8 it's God and only God.

branmusolo
Автор

kama huu wimbo bado unaupenda gonga like tuwe sawa

godlistenkileo
Автор

Hata ndimi elfu hazitoshi.ushuhuda ninao.Ainuliwe Jehova

Stellakeff
Автор

I've been passing through difficult moments but God has been so faithful to me..My heart can not praise him enough for sure..
Kuna wakati nilikosa ada ya chuo kikuu na siku ninayopeleka barua ya kusimamisha masomo yangu, Mungu akatenda kwa kunipa mtu ambaye sikumfaham akanipatia 1.5 Millions ya ada nikaendelea na masomo kiukweli moyo wangu hauwezi kumsifu kweli kwa yote aliyonitendea.

fridayndimbwa
Автор

What a glorious experience-am in repeat mode for this song👏👏👏

joelnanauka
Автор

This song reminds me when my daughter was attacked, she couldn't not open her eyes due to forces of darkness i played this song every morning na kweli Mungu akatenda .Today my daughter she's completely delivered oh GOD YOUR SO GOOD

hariticnetworking
Автор

Ametenda, Amefanya kweli. Now Am engineer of Africa Mashariki as a construction manager. Sure he has done toka mavumbini haxi juu ya wakuu. Thanks God.

justusaganyilatvonline
Автор

Moyo wangu hauwezi (My soul/heart cannot)
Kukusifu kweli (Truly praise you)
Ila sifa zangu hizi (But here are my praises)
Bwana zikubali (Father accept them) (Repeat)
Hata ndimi elfu (Even a thousand times)
Hazitoshi kamwe (Are not enough)
Kukusifu kweli (To praise You in truth)
Kwa mapendo yako (For Your deeds) (Repeat)
(Refrain)
Ametenda/Amefanya (He has done)
Tena ametenda/amefanya (Once again, He has done) (Repeat)
Haleluya, Haleluya (Hallelujah)
Haleluya, Hale
(Refrain)

flavierowiso
Автор

To whoever is reading this, this isn't a coincidence. You're reading this bcos GOD has your life. GOD'S word says, "B4 I formed you in the womb I knew you, b4 you were born I set you apart."GOD has a plan for your life. Never forget that.

worshiplibrary
Автор

When I first heard this song I cried😭😭😭😭😭I was done with form four..I lacked fees😭😭my God is faithful, najua ashatenda😭😭😭😭😭😭nasubiria wakati wake😭😭😭here are my praises dear lord.Receive them

faithndunge
Автор

I'm happy for my neighbors Tanzania. There's a great revival in worship. Keep up with the worship spirit. From 🇰🇪

jemimahnjoroge
Автор

Leo nimeomba Mungu Kwa habari ya maisha yangu ya kiuchumi nimeomba kuongezewa na kusaidiwa kabisa maana nimetoka katika maisha ya ndoa ya kupigwa na mwanaume na kwakuwa Sina kipato Niko kwetu Bado naendelea kumwangalia kwa matumizi lakini nataka kuwa huru ki uchumi niweze kulea watoto wangu na kuachana na kabisa Baba nakushukuru maana sitaaibika kulea watoto wangu sitaaibika wazazi wangu wamenitukana kuja kuishi nao bila kunisaidia kitu namshukuru Mungu nimeona walivyo pamoja na ndg zangu, lakini naweka matumaini kwa Mungu tu anifute aibu hii ya kiuchumi anibariki kifedha nisihangaike kulea wanangu Wala kupata pa kulala na watoto wangu Amen

FarajaSamwel-oc
Автор

Naifurahia Tanzania yangu nawaona worshippers wengi wenye nguvu za Mungu na ndio tunataka... Kaka

worshippersincharge
Автор

Mimi bado nashangaanga na wenye wana dislike such powerful songs.
Keep ministering to us. 🔥🔥

chemutailucy
Автор

Mtumishi ubarikiwe sanaa!! Nilisikia injili hii kwa mtumishi wa Mungu, Apostle Mwamposa akiimba nikajawa na kiu ya kumsifu Mungu. Kila jambo juu ya Maisha yangu nasema na kuimba nafsini mwangu au nikiwa peke yangu ....🎶 Bwana. ametenda 🎶

Mbarikiwe nyote.

realscholarships-bolde.
Автор

Kwakweli Mungu aendele kuunua huduma yako maana tunabarkiwa sana tukisiliza nyimbo zake

petterbarnaba
Автор

+254 if u r here in 2019 Nov and this song still bless you gonga like.
Hata ndimi elfu hazitoshi kamwe kukusifu kwelii kwa mapedo yako...This song always bless me

lizzahsam
Автор

Tujitaidi pia kutunga nyimbo kama hizii zenye mpangilio mzuri wa beti na sauti. But hongera tunajitaidi mdgmdg ndo mwendo naziona worshipp mpya zenye nguvu.

abbyjustine
Автор

Who is here 27.12.2024 Ametenda tena Ametenda Glory be to God

marymelvinnjenga
Автор

Hata ndimi elfu...Hazitoshi kamwe kukusifu kweli kwa matendo

johnkeneth