Christian Bella Ft Rosa Ree - ONLY YOU (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music video by Christian Bella featuring Rosa Ree performing ONLY YOU (Official Release) The Music Video Shot in Dar es Salaam, Directed by Kwetu Studios.
Written & Performed by: Christian Bella & Rosa Ree

Follow Christian Bella on Social Media:

#ChristianBella #RosaRee #OnlyYou
© 2020
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 June 3 kama uko hapa like my comment

BlaqJohweusi
Автор

Diamond platnumz, wasafi, Ali Kiba n konde music wamefanya hatuangalii nyimbo zingine, lakini Kuna nyimbo kali sana, ...huu wimbo ni mkali

ottomanmwarabu
Автор

Kama una mkubali Christian bella an Rosa Ree don't forget ku gonga like down below.

TrendingRefresh
Автор

Yanihidunia kweriinazunguka nimeamini hinyimbo imeniludishia mke

JeremiaMnanka
Автор

Wangapi wako hapa kwa ajili ya roza ree; nipeni like zangu

soniimedia
Автор

Nani ana angalia hii video huku akisoma comments kama mm..? Enjoy good music😍😘😍

muniraahmed
Автор

Wa congomani tujuwane hapa like 👍 kama umeikubali hii ngoma

mmungaramazani
Автор

Kama umekubali uyu ni king wa best melody like yako hapa plz

diamondplatnumz
Автор

Kama unapenda sauti ya bella gonga like tukisonga

annitakimani
Автор

Le grand Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 T'aime bcp mon cher frère et compatriote de c pays d'Afrique ou sont ces congolais qui écoutent leur compatriote, donner vos likes ici

AbiTech
Автор

Tanzania 🇹🇿 we are untouchable. 🔥Magufuli kids Gonga hapa Lets Go...👍👍

htx
Автор

Kama unasikiliza kutoka TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Gonga like twende sawa

ibrahimelisha
Автор

King Wa Melody Mwenyewe Kakutana Na Mtoto Wa Michano Rosa, Mbona Shwanga Tu.

Mbeyaconscious
Автор

Kali sna bella kama bella rosa kama rosa. Likes zao jameni

kennix
Автор

mwana mboka tuna kupenda sana C.Bella wewe ni nyota ya 🇨🇩 🇰🇳 na africa mzima

dannykimbesa
Автор

Olamuki watu wa congo, tunawapenda hapa Uganda

jaymesb
Автор

Wa kwanza kuview na kukomenti hapa, kama unawakubali hawa jamaa kwa pamoja ila hukutarajia kama wangepiga collabo gusa hapa
👇

fourteen_kiid
Автор

Kama umeona Rosa ree kashika ikuru like twende sawa

alexanakreth
Автор

Kaka unajua bwana, nyimbozako zinamaana sana kweli, yaani zinamaanisha kitu siokama zilezingine

fxvqgyj
Автор

Daa sijui nilkua nimechelewa wap kuskia wimbo huu kali muno 2024

pbzysef