MANULA APIGWA NA POLISI LIBYA, SIMBA WAFANYIWA VURUGU WASHINDWA KUONDOKA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wasituumizie vijana wetu tafadhal na ngozi zao tu wakipigwa juwa wananuka mbwaaa hawa ngoja waje kwetu na wabongo tulivyo labda msije huku tu💪💪🇹🇿🇹🇿🦁❤️👈🦁👈

tabutabu
Автор

Daaah Ubaya Ubwela daaah mpira Sio uwadui Tarehe 22 Sio mbali

djamanitvonline
Автор

Hawa wakija huku nao tuwakande tukiwaachia watazidi kutufanya mabwege ubaya ubwela ukoloni ushapita zama zake

allysaidi
Автор

Watanzani wenzangu muungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama kwa hiyo tuonyeshe uungwana siku zote anae malizia shari ndie anae one kana mbaya tusifike huko la muhimu kuipa surport timu yetu na wachezaji wajitume. 🙏

HalimaShebe
Автор

Subiri waje Kwa mkapa watayaoga na watafungwa

Djmasele
Автор

Jaman mm ndo nina hasira yan sipati usingz hapa sina cha utimu wala nn wameniuz warabu yan hawa wakija uku tusiwaache jaman wanatuzoea sana hawa inabid tuwaonyeshe rangi zetu halisi ukoloni ulipita tukijifanya kila kitu sisi ni watu wenye aman wallah watatia vidole hawa ina bidi wapate funzo mungu saidi watu wang watoke salama uko libiy swz kulala leo mm nina hasira sana natama nipae nikaitie moto nch yao bila kujali wanao usika wala nn iyo ndo kawaida yao kwnn wasio penda wasingokua wanawaamasisha wenzao kabla ya mechi wasije fanya vitu ivyo

MillanFAHMI
Автор

Alikamwe aliwambikunambu ndombuhizosasa zinazopatikana kwenyekombe lawalio feli

DaviMaiko
Автор

Waislam na vita ...wakikaa na Amani ni kama inakua sio fresh

lilhydon
Автор

Hapa Sasa ndo kauli ya ubaya ubwela inatakiwa ifanye kazi sio maneno tu tatizo sisi tunajifanya wakarimu Sana hawa wajinga wakija huku na wao wapigwe kila mtu atambe kwao tena ikiwezekana tuwafate huko huko maana tarehe 22 ni mbali

MAPAMBANOOPTION
Автор

Waziri wa michezo hivi yupo au alisafiri yeye hakuona au hajasikiaa, mbona ulaya hatujasikia mambo ya kipumbavu kama hayo waliyofanya nguruwe mwitu jamani???

marykitinya
Автор

Yote hayo yalio toka ni9 la 10 ni kufanya mbinu zozote na kuomba mungu hapa sisi tushinde inshaallah

mamaAden-un
Автор

Ngoja waje kwa rupaso, ubaya ubwela tu

ErickJeremiah-rypw
Автор

Hiyo ni sare je tungewafunga timu kila mtu angekuja kivyake

salomethomas
Автор

Kwan yule mghana huwa mnamchukia kwa nin, mana yey ndo alianza kuripoti, then wakafata wengine

athumanimtajih
Автор

Sema sisi watanzania ni wapumbavu sana, watakuja hapa na tutawachekea chekea tu

ismaelismael
Автор

Kumuua Gadafi kunawatafuna, hawaelewi baya wala zuri😂 hawajielewi😂

gogne
Автор

Jamaa wanapenda fujo wakija huku na wao wajiandae

delsonandrea
Автор

Taarifa za hivi punde Wachezaji wa Simba malinda yameng'olewa na wamemwagwa mavi

ChijaKisenya
Автор

Upupu ndo tiba ya yote hayo tunawapiga kimya kimya ndo watajua hawajui

ixheryusuph
Автор

Mie ningekuwa Dar walahi ningeenda kwa ajili yao

marykitinya