GB 64 KWA HASIRA AWAKA MANULA KUPIGWA NA POLISI LIBYA, WATAKUJA BONGO

preview_player
Показать описание
Vurugu walizofanyiwa simba Libya
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

big up point brother GB64 uko sahihi kabisa 🎉🎉🎉

maikomatayo
Автор

Jamaa anajua sana kuongea Point vurug azina maana kweny maendeleo

jonyjaksony
Автор

Sana GB 64 umesema kwa hekima zote mkuu nakubaliana na ww

sissoalfred
Автор

G64 samahani ninakuomba unipatie contact zako, ni muhimu kuna mambo ya msingi ya kujadiliana na kushauriana kwa maslahi ya Simba s c

francisshabani
Автор

Ningependa morson angekuepo simba wangechomwa bisibs matakoni

ElizabertFales-brfi
Автор

Hakuna hapo ni ubaya ubwela kulipa kisasi ni wajibu hakuna unyonge hapa ipo siku watamuua mtu

MAPAMBANOOPTION
Автор

Ndiyo, sisi ni waungwana, nakuunga mkono GB 64 .si tuwatindike tu mabao, ugomvi siyo point 3

CalmAlpineSkiing-xfgv
Автор

Hakuna vurugu yoyote Bali kutojiamini TU

TumainiNyangamba
Автор

Nakubali tuwe Wapole tujae tuu uwanjan

RaymondLema-cp
Автор

Nasisi tuna wasubiri na wao waje kwetu...😂😂😂❤❤❤🎉🎉

amosisamson-fd
Автор

wacha usenge simba hajalazimishwa sare

HusseinHussein-fn
Автор

Kiukweli kinaniuma mnooo manula kupigwa na kwa nn alienda kukaa jukwaan???

PaulIzaki