KAULI YA RAIS ENG HERSI BAADA YA UBINGWA WA NGAO YA JAMII 2024.

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Eng. Mwenyezi Mungu akutuze na akuepushe na kila baya.💚💛💚

Mary-fsmc
Автор

MUNGU ni mwema hongera Sana Engineer Hers kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

naliakafatuma
Автор

Alhamndulilah nakuomba M/Mungu mjaalie Nusra kiongozi wetu na viongozi kwa jumla Inshaallah

rukiakyaka
Автор

Ee MUNGU tunaomba umlindi na uumpe afya njema rais wetu wa timu yetu engineer Hersi 🙏

monicalucas
Автор

Injinia Mungu akuinue zaidi na ikimpendeza Rais wetu mama Samia akuangalie kwa jicho la pekee utaweza msaidia mahali fulani hasa kwa awamu ijayo. Kwa msimu huu ubaki kwanza yanga na kina ACPM na wengine.

kolosii
Автор

Tanzania ilibarikiwa Magufuli Yanga imepewa Eng Hersi alietuletea wewe anatupenda❤

Thatgurl-ln
Автор

Eng, malaika wa MUNGU aliye hai wakulinde maisha Yako yote pamoja na viongozi wote na wachezaji

nicodemusmemba
Автор

Yanga inatakiwa kufunga mabao kumi kwa kila mechi kwa jinsi ilivyo sasa. Lakini midfielders wanchelewesha sana mpira kwa kulemba kwa pasi za kuzunguka tu hapo kati. Ifike hatua wachezaji wetu wawe na shaka ya kufunga nagoli mengi kila mschi. Hapo hamasa ya ufungaji itakuwa juu kwan kwa sasa wakofunga goli kuanzia 3 wana-relax. Ongezeni morali kwa kufunga magoli mengi ! Vinginevyo timu yetu ni nzuri sana❤

marcobulili
Автор

Viongozi wa Yanga wasomi wenye ubunifu!💪💪💪💪💪

abubakarchinga
Автор

Huyo alietulatikia viuno mwambieni asisuse kuvaa medali 💚💛💚💛💚💛💚🔥🔥🔥🔥

Sophia-yf
Автор

Hata wewe Eng unastahili pongezi umewafanya hao vijana kama wadogo wako wa tumbo moja.

Ba
Автор

Mwamba kweli kweli God bless you Sir,

neemasolomon
Автор

Yaniki aliyempiga Kiwiko Diarra anafanywa mini na TFF

brycesonmathias
Автор

Mwamba Eng. Hersi Said raisi wa ball 🎉🎉🎉

amaniomar
Автор

Hakika wew ni kiongozi wa kuigwa na viongozi wa timu zingine

AyoubSimtowe-qpyy
Автор

Hersi ubarikiwe magoma alikua anataka kukupa stress tyuu

JamilaJuma-klem
Автор

Mngu akulinde inginia uendelee kuwa boraa mda wote

JamesMsongole-qm
Автор

Ukweli nimekuwa mwanachama kwa sabu ya huyu Hersi Yuko wazi sana kiukwel hii ndo Tanzania tuitakayo watu hawa

jamallnyello
Автор

We ni kongozi na nusu sema kwenye kuingia 2000 kwenye uongozi umetupiga

nelsoncosmas