KAULI YA MANARA BAADA YA RAIS WA YANGA HERSI KUSEMA WATAMPANGIA KAZI NYINGINE NA SIYO MSEMAJI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimemwelewa sana rais wa Yanga japo mm sio shabiki wa yanga, Manara sio mtu wa kumwamini kabisa, anacheza na fursa 😂. Ali Kamwe ni mtu sahihi zaidi

alanmwijarubi
Автор

Huyo apangiwe awempishi wa wachezaji afuwe na jezi hiyo kazi hitamfaa sana

GeorgeJusto-yv
Автор

Haji una hekima sana na mungu azidi kukupa subira

mussaelias
Автор

Manara Upo vizuri, umekomaa kimpira, kuwa msemaji wa yanga siyo hirizi

amaningalla
Автор

apangiwe kazi nyingine... awe HOUSE BOY wa Ali Kamwe

hassanlikwenangu
Автор

ally kamwe ni mtu sahihi sio mropokaji

jseventz
Автор

Manara alipofunguliwa na tff akawa na mbwembe kadadadeke akoshe masufuria sasa ya gsm

Mumewangu
Автор

Dunia inafunza leo umekua unatia huruma kweli bc ujue ukiw unawasema watu fulan au mtu fulan ubakishe maneno leo ayo ap fei Ana dunda mtt mdogo lkn hajibizan na watu kila kher mwenyez Mungu akup wepesi wa riski nyengine

MohdKombo-kf
Автор

Yanga wasipokua makini na manara atawaletea mgogoro ndani ya timu bahati nzuru hersi amejitambua mapema

bilalabas
Автор

Anatia Huruma Sema Kinao Mdomo Sana Kinajisahaugii YAANI RAHA SANA UKU HAJI HUKU MWIJAKU YAANI

nichoojr.
Автор

Bola angeendelea kujifungia Tu na Jua Kali wake 😅

nichoojr.
Автор

Haji apewe usemaji halafu kamwe awe afisa habari

hirizonetz
Автор

Aliposemaga kwamba awezi kwenda uwanja wa mkapa kuangalia Dabi ya yanga vs simba alionesha nikiasi gani yeye sio mzalendo wa timu Yana Hana Imani na timu kwaiyo nibora abaki shabiki wakawaida tu all in all mdomo uliponza kichwani

Mbilizi-cl
Автор

Hahahahaha mateso bila chuki siyo mpk uambiwe ambiwe apite ivi kbs

petercostakisoka
Автор

Kiukwel aslimia 90 yanga tuko kwenye mpira wa kisasa hao watu wa gizan weken pemben, Aly kamwe wa kisasa hao wengine wabak mashabik tuu

remmymmewa
Автор

Mbona hata Ali kamwe ni balozi wetu hapo mwiko nyuma manara ni mwambata katika mwiko nyuma

ibrahimmboya
Автор

Haji katika miaka yte navyokufaham brother katika maisha yako yte ambayo umeanza kuzungumza wewe ni mtu na nusu yake na sasa nimeanza kukuelewa kua wewe ni mwananchi kweli na unajuabunachikifanya i really appriete you in this matter ubarikiwe na usiyumbe kwa maneno ya wachambuzi

ziadamuhunzi
Автор

Zandani nasikia Azam tayari wanataka kumchukua deal done😂😂😂😂

ahmedysaidy
Автор

Mim kama shabiki wa simba namuomba tu mungu hasirudi kwenye usemaji wa yanga maana jaman anajua kutukera wanasemba maana ana manemo makali nyenye kuumiza mnoooo😂😂😂😂

WaziriRamadhan-ML
Автор

Jamani mbona mnapenda kuchokonoa kuchokonoa tuachieni yanga yetu viongozi wanajua wajibu wao

kiboshokiboshomungumkubwa