Dini ya KiIslam yazidi kudharauliwa Saudi hakuna mtetezi

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dada Wala usijali kuitwa mwandawazimu hata mtume aliitwa mwandawazimu wewe SEMA panapo haki dada yangu Allah akuhifadhi lakini mm nakutia moyo Fanya kazi na Allah atakulinda dada hongera Kwa kazi mzuri

yusrtv
Автор

Lailahailallah subhanaka inni kuntu minadhwalimiin yarabbi inusuru dini yako😭😭 yaarabbi ilinde miji😞😞 yako mitukufu asante dada kwakutuonyesha yanayo endelea Allah akuhifadh inshaallah 🙏🙏

samamfaume
Автор

Dhambi Moja haihalalishi dhambi nyingine Kila atalipwa Kwa alichofanya.. ya Allah ziongoze nafasi zetu na uwaongoze viongozi wetu.

MauaAbubakari
Автор

ALLAH TULIDIE MIJI MITUKUFU YAKISILAM YAALLAH🤲🤲🤲

IsaahJohn
Автор

Subhana llah dada angu mungu atakusaidia kwakila jambo

ZuuAthman
Автор

Mashaa Allah,
Wanafiki ndiyo viongozo na haya Mtume(s.a.w)Alikwishafunuliwa na akayahusia,
Sasabasi, Mwenyeakili achunge Nafsi yake na watu wake.
Qur'an tuikumbate, hatuna Uongozi wala Nuru isipokuwa Nurullah.
Tuombe khusnur khatma😢😢😢

MwajumaKisaru
Автор

Usiukumu mtuu achaa mungu atende yeye ndie muamuzii

AmisoMuyohira
Автор

Allah atuongoze kweli waislamu wengi wamepotea sana na hata uko uarabuni sio kuwa saudi wana wislamu wanavyio dai watu huko pia wengi wamepotea na wapo kwa mambo ya dunia tuh ila mjue kuwa ni siku za mwisho twaishi atakae kuwa na imani ndio atapona Allah ametufanyia subra sana akiamua alete adabu yake akuna atakae subiri Allah atusamehe na atupe mwongozo😢🤲🤲🙏

zahraabdul
Автор

YESU KRISTO ni mkuu wa majeshi yoooote

JoshuaMpande
Автор

Sio kwamba tunakaa kimya ukhty ila Allah anasikia na anaon yale ambayo wanayowatenda na watalipwa kutokan na lile jambo ambalo wanalitenda wallah thumma wabillah watalipwa ujira ulio mbaya zaidi!!

UISLAAM UMEKAMILIKA LAKINI WANADAMU NDIO HAWAJAKAMILIKA

MudhihiriHakika_
Автор

May Allah protect n uphold His will....islam stands forever

JumahMaganga-el
Автор

Asante dada.Hawa jamaa ni waasi wa Mungu.Mungu ni mwingi wa Subra.Lakini Iko Siku.

abdullali
Автор

Saudi Arabia kuna waislamu na wasokua waislamu but ni warabu, tunamuomba tu Allah atustiri na kila muislamu aijenge iman yake, hizi zinaashiria nyakati za mwisho.Allah atujalie mwisho mwema na atuepushe na adhabu ya kabri inshaAllah🤲

amishmusungu
Автор

Dada afadhali umesema unajua watu wanawapenda sana waarabu na hata wakikosea basi huonekana kana jambo la kawaida lakini Saudia ipo siku Mungu atawaonesha kuwa yeye yupo na ndio mfalme wa ulimwengu

mussasaidhamad
Автор

Subhanallah baadabya america, saudia jitayarishen inshaaalla mungu atawaadhib kutokana namaas yenu alla unawaona Hawa subhanalla

kijoliahmada
Автор

Dada nimekuelewa Sana, heshima ya kiislamu inashuka, msaudia anachangia hili, kuingiza uhuru usio na mipaka na jamaa yake marekani

KisagasiLuyangi
Автор

Saudie hakuna dili isipokue jina lina jificha tuu 😢😢😢😢mungu wangu tulidie kizazi chetu

Marry-um
Автор

Innalillahi wanna illahi rajioun Allah atuongoze kwenye njia ya haki

susansamira
Автор

NCHI ZOTE ZA KIARABU ZIMEOZA KUHUSU DINI AFAZARI YA AFRICA KIDOGO KUNA IMANI NA HOFU JAPO KIDOGO YA WATU WENYE DINI KULIKO NCHI ZA KIARABU YAMI SIFURI KUHUSU DINI

hamidudigogo
Автор

Mm niko oman bt hata tabia za arabs vyenye wanabeba housemanagers ..mungu awape heri na neema cox huezi amini kama ni mtu ambaye hapitwi na salaaa vyenye wengi wao hutesa tunawaita waiguru na waititu kwa maadili yao

PatieRehema