Bien - Inauma ( Lyrics )

preview_player
Показать описание
🔴Links on the About Please Follow And Subscribe Here!

We Did Came Here To Play 🎶 Coz A lot More Is Coming🏅 Subscribe🔔and Play the previous Videos👌

🕊🕊🕊🕊🕊

Kindly DM For Any Business PROMO📧

Lyrics💙
_______
Kukosana na Wewe
Sikutarajia
kuwa Mbali na Wewe
Aki umeniacha pabaya
Kutengana na Wewe
imenibadilisha Sana
Nimetamani nilewe
Aki na kunywa
Na sai nazama
Naambia watu nini Regina?
Haya Mapenzi yalinoga
Nakumbuka Tulipeana Madini
Leo Baby Kesho tuma tu Mtandaoni
Ikaleta Fitina
Ukawa huambiliki
Nami Kichwa Changu na kikavimba
Nikawa Sisemezeki

Inauma😫Inauma 😫
Lakini nitazoea 😪

Inauma😫Inauma 😫
Lakini nitazoea 😪

Hali ya Mwanaume Duniani Nikuzoea😧
Hali ya Binadamu Duniani Nikuzoea 😞
Ndo Nashindwa

Please Consider To Subscribe🕊
Densi Yooh, Densi
Densi Tuliikamata hadi usiku wa manane

Kesi Yooh, Kesi
Kesi Tukakubali tutapenda Milele
Nyimbo, Nyimbo
Nyimbo Tulizopenda Zanikumbushanga Wewe
Kamisi Yooh, Kamisi
Kamisi na Biker uliiwacha na Visanga ndo nilale

Ooh yooh
Tutaambia nini Watu Regina?
Haya Mapenzi yalinoga

Nakumbuka Tukila Bata na Beer
Party After Party
Shetani Gani Alituingilia
Akatuweka asanda
Hilo Vitu pahali Limenifikisha
I will Never Love , Another
Like
Inauma😫 Inauma 😫
Lakini nitazoea 😪

Inauma😫 Inauma 😫
Lakini nitazoea 😪

Hali ya Binadamu Duniani Nikuzoea😞
Hali ya Mwanaume Duniani Nikuzoea😧
Ndo Nashindwa

Inauma😫 Inauma 😫
Lakini nitazoea 😪

Inauma😫 Inauma 😫
Lakini nitazoea 😪

Hali ya Binadamu Duniani Nikuzoea😞
Hali ya Mwanaume Duniani Nikuzoea😧

Ndo Nashindwa🤐

#bien#inaumaLyrics#hypegengelyrics #Inauma#Trending#bts #subscribe #sautisol#bieninauma#Stivosimpleboy
Рекомендации по теме